Jinsi utandawazi unavyochochea usaliti

Jinsi utandawazi unavyochochea usaliti

Mkuu umeandika Ukweli mtupu na ni mambo ya muhimu sana kuzingatiwa tusiwe washamba wa kutumia mitandao ya kijamii badala yake tutumie kwa mambo ya muhimu bila kujiharibu kitabia kwa kuiga mabaya ya humo.
 
Dunia kwa sasa ni kama kijiji endapo me au ke anapokua na mahusiano mengine ni rahisi sana kujua labda uamue kuuchuna tu.
Lakini chanzo cha mahusiano mengine huoni kinachagizwa na utandawazi?
 
Utandawazi una faida na hasara zake kitu cha muhimu ni wazazi kukubali utandawazi upo then kulea watoto kwa hali ambayo itamfanya mtoto asipitiwe na matokeo mabaya ya utandawazi,japo inaitaji usimamizi imara wa watoto so lazima tukubali kuwa nyakati zimebadilika hvyo malezi mazuri ya kidini na maisha ya kumpendeza mungu inaweza kumsaidia mtoto mpaka akafikia hatua ya kujielewa kwan kazi ni kumvusha adolescent salama
 
Utandawaz una faida na hasara zake ..kitu cha muhim ni wazaz kukubali utandawazi upo then kulea watoto kwa hali ambayo itamfanya mtoto asipitiwe na matokeo mabaya ya utandawazi,japo inaitaj usimamiz imara wa watoto so lazima tukubali kuwa nyakat zimebadilika hvyo malez mazur ya kidini na maisha ya kumpendeza mungu inaweza kumsaidia mtoto mpaka akafikia hatua ya kujielewa kwan kaz ni kumvusha adolescent salama
Ur right!
 
Hali unayoiona ndio majira na nyakati tunazoishi ukitaka tofauti unda dunia yako unayoipenda na itangaze duniani pote kwa njia za utandawazi kikiwavutia watu wataanza kukipractise, kama nyie mnavyojifunza hayo ya vichaa wengine
 
Then inakuaje...
Si una (T)opic (O)f (M)agnetic in physics (B)ased in (A)tomic na (K)ompound (U)trimetic in (F)riction where by (I)ncompound (R)adius collapse in (A)natomy.

Have you understood student...!!

Yes sirrrrrrrr...!!

 
Si una (T)opic (O)f (M)agnetic in physics (B)ased in (A)tomic na (K)ompound (U)trimetic in (F)riction where by (I)ncompound (R)adius collapse in (A)natomy.

Have you understood student...!!

Yes sirrrrrrrr...!!

Baabeq
 
Si una (T)opic (O)f (M)agnetic in physics (B)ased in (A)tomic na (K)ompound (U)trimetic in (F)riction where by (I)ncompound (R)adius collapse in (A)natomy.

Have you understood student...!!

Yes sirrrrrrrr...!!

Wewe goldie kichwa chako kina matobo madogo ya masikio na pua, yangekuwa makubwa hayo maji yaliyomo kichwani yangemwagika
 
Back
Top Bottom