Jinsi tulivyo...!!!

Mmenikumbusha Easter ex gf wangu wa kilokore.
 
Mungu wetu ni mwenye huruma sana na ni wa kusamehe sana.
 
Hapana thats not me. Nadhani ndo maana sipendi kwenda club. Nilienda managers night chuoni usiku mmoja hivi. Nilichukia tabia ya wanaume kudindisha wakati anakubambia nikaapa sintorudia. From there sijawahi kurudia clubbin hainihusu.
 
Hiyo picha kumbe ni yako...?
 
Imani ya mwafrica ni maigizo tuu. Watu huenda kanisani/Miskitini kama fashion show tuu. wameshindwa ku abandon mila zao matambiko ,mahirizi, ni kama kawa. Wameshindwa kutelekeza matamanio yao ulevi, umalaya , wizi ni kama kawa. Wamashindwa kutelekeza tabia zao za asili majungu, masengenyo , maringo ni kama kwawa. Biashara na kazi zao zimejaa upendeleo ushirikina rushwa ni kama kawa. Siku za ibada ndio hawakosi wapo viti vya mbele , wanatoa sadaka nyingi ndio wafadhili . Waafrika tunaloiiii
 
Hapana thats not me. Nadhani ndo maana sipendi kwenda club. Nilienda managers night chuoni usiku mmoja hivi. Nilichukia tabia ya wanaume kudindisha wakati anakubambia nikaapa sintorudia. From there sijawahi kurudia clubbin hainihusu.

Hahaha mkuu ila it depends sasa unakuta umekula kimini matata af ndo vile umejaaaliwa, lazima watu wapime oil kidogo!
 
Kwaio waafrika wanafiki tu sisi? Ila kna ka ukwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…