Jinsi TAKUKURU inavyozuia Rushwa kwenye Vyama vya Siasa

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
626
938



Rushwa katika Vyama vya Siasa ni tatizo katika Nchi nyingi Duniani na inaathiri Demokrasia kwa kudhoofisha Uwajibikaji, Usawa, na Uaminifu katika Mifumo ya Kisiasa

Katika baadhi ya maeneo, Watu wanaweza kununua au kuuza kura kama njia ya kufanikisha malengo yao Kisiasa
 
Hii kwa TAKUKURU ni kazi yao. Lakini ndani ya serikali rushwa ni kubwa....... CCM wanatumia hela kuwa madarakani kwa % kubwa ,, mimi siwezi kukubali umasikini wakati ufisadi unawapa watu utajiri.

Tuwe wote kwenye Rushwa tuone Mwisho wake.

Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom