Kaka hebu fafanua vizuri hapo kwenye official/custom ststus nipate mwanga kidogoSikuhizi simu hasa hizi zilizo nje ya maboks, hata kama ni dukani usiingie kichwa kichwa...
1. Ukinunua simu nenda kwenye Phone status hakikisha ni Official sio Custom, hizo ni za mbio wanazibadilisha imei, ndio Kwa kupitia imei UNAWEZA usikamatwe ila siku uka restore tuu, kwisha habari yako., haitashika network, ukilazimisha kuirudisha upo nyavuni..
2. Hakikisha pamoja na kupewa Risiti ya ki electronic (hizi mimi hua sizikubali kabisa, hua hazioneshi model, imei n.k) omba risiti ya mkono, model ya simu iandikwe,
Imei number iandikwe, hii imei ifanane na ya kwenye boksi, ndani ya simu/software na oia i match na ya kwenye hardware yasimu, namaanisha nyuma ya simu(kama ipo)
3. Piga picha pale pale dukani,
4. Haikisha unapata mhuri na risiti ni ya duka lao,
5. Hakikisha unauziwa ndani ya duka lao(kuna mawinga wanajisogeza na fremu ya mtu anajifanya ni yake, kumbe umesetiwa, mkimaliza biashara anasepa, siku umepata la kupata, unaenda unakuta mawingu.
Simu ya Mkononi..
1. Hakikisha namba Mnayotumia kuwasiliana na muuzaji ni yake, imesajiliwa kwa ID yake..
2. Omba kitambulisho, kipige picha kikiwa na simu, na pesa unayompa.
3. Piga naye Selfie/record video akiwa ameshika ID yake na makubaliano ya mauziamo..
4. Fanya biashara hio nyumbani/ofisini au basi uchukue namba ya mtu wake wa karibu, huyo mtu umtafte wewe..
Shtuka ukiona haya.
1. Muuzaji wa simu anasema ni yake lakini haitumii inasoma imergence.
2. Phone status inasoma Custom.
3. Muuzaji anakuambia exchange allowed lakini haweki conditions zozote na ukiangalia simu ni ya gharama.
4. Muuzaji ana namba za simu nyingi kupitiliza,
Nimepiga sana u winga, Nina scenario nyingi sana ambazo ziliniokoa.
YOTE HAYA YANAWEZA KUA MATESO,
NENDA SHOP YA KUELEWEKA ZAMA MFUKONI VIZURI, NUNUA KITU SEALED.
NOTE : SEALED na FULLBOX ni vitu viwili tofauti.
Duh..Sikuhizi simu hasa hizi zilizo nje ya maboks, hata kama ni dukani usiingie kichwa kichwa...
1. Ukinunua simu nenda kwenye Phone status hakikisha ni Official sio Custom, hizo ni za mbio wanazibadilisha imei, ndio Kwa kupitia imei UNAWEZA usikamatwe ila siku uka restore tuu, kwisha habari yako., haitashika network, ukilazimisha kuirudisha upo nyavuni..View attachment 2989845
2. Hakikisha pamoja na kupewa Risiti ya ki electronic (hizi mimi hua sizikubali kabisa, hua hazioneshi model, imei n.k) omba risiti ya mkono, model ya simu iandikwe,
Imei number iandikwe, hii imei ifanane na ya kwenye boksi, ndani ya simu/software na oia i match na ya kwenye hardware yasimu, namaanisha nyuma ya simu(kama ipo)
3. Piga picha pale pale dukani,
4. Haikisha unapata mhuri na risiti ni ya duka lao,
5. Hakikisha unauziwa ndani ya duka lao(kuna mawinga wanajisogeza na fremu ya mtu anajifanya ni yake, kumbe umesetiwa, mkimaliza biashara anasepa, siku umepata la kupata, unaenda unakuta mawingu.
Simu ya Mkononi..
1. Hakikisha namba Mnayotumia kuwasiliana na muuzaji ni yake, imesajiliwa kwa ID yake..
2. Omba kitambulisho, kipige picha kikiwa na simu, na pesa unayompa.View attachment 2989836
3. Piga naye Selfie/record video akiwa ameshika ID yake na makubaliano ya mauziamo..View attachment 2989839
4. Fanya biashara hio nyumbani/ofisini au basi uchukue namba ya mtu wake wa karibu, huyo mtu umtafte wewe..
Shtuka ukiona haya.
1. Muuzaji wa simu anasema ni yake lakini haitumii inasoma imergence.
2. Phone status inasoma Custom.
3. Muuzaji anakuambia exchange allowed lakini haweki conditions zozote na ukiangalia simu ni ya gharama.
4. Muuzaji ana namba za simu nyingi kupitiliza,
5. Muuzaji kaweka tangazo, hajaweka namba ya simu anakumbia weka yako, au nenda PM
Nimepiga sana u winga, Nina scenario nyingi sana ambazo ziliniokoa.
YOTE HAYA YANAWEZA KUA MATESO,
NENDA SHOP YA KUELEWEKA ZAMA MFUKONI VIZURI, NUNUA KITU SEALED.
NOTE : SEALED na FULLBOX ni vitu viwili tofauti.
Shukrani mkuu simu haikua ya wizi sema tu aliifananisha kupitia back glassKama ulikuwa unafanya biashara ya kununua simu bila kujua ipo siku utalala selo, basi hiyo biashara hukuufahamu vizuri.
Biashara ya simu za kununua kwa mtu zina changamoto sana..
Pole sana..
NB; Usje ukampa utelezi mana ushaanza kumsifia😀😀😀Natamani nisahihishe sehemu ulizokosea kuandika lakini sijui nianzie wapi nimechanganyikiwa wewe ni special case
Yaan hata nyumba hatununui kwa masharti yote hayo..ukipenda kitonga lazima unyee debe simu zipo mpya ww unataka za mkononi ama refub harafu vitu km simu kua na duka lako moja tena sio wale wa vizimba unakuta duka moja linavimeza kumi 🤣🤣🤣Na simu mpya unaunua ikiwa haijapasuliwa ile karatasi ya nje ya boxSikuhizi simu hasa hizi zilizo nje ya maboks, hata kama ni dukani usiingie kichwa kichwa...
1. Ukinunua simu nenda kwenye Phone status hakikisha ni Official sio Custom, hizo ni za mbio wanazibadilisha imei, ndio Kwa kupitia imei UNAWEZA usikamatwe ila siku uka restore tuu, kwisha habari yako., haitashika network, ukilazimisha kuirudisha upo nyavuni..View attachment 2989845
2. Hakikisha pamoja na kupewa Risiti ya ki electronic (hizi mimi hua sizikubali kabisa, hua hazioneshi model, imei n.k) omba risiti ya mkono, model ya simu iandikwe,
Imei number iandikwe, hii imei ifanane na ya kwenye boksi, ndani ya simu/software na oia i match na ya kwenye hardware yasimu, namaanisha nyuma ya simu(kama ipo)
3. Piga picha pale pale dukani,
4. Haikisha unapata mhuri na risiti ni ya duka lao,
5. Hakikisha unauziwa ndani ya duka lao(kuna mawinga wanajisogeza na fremu ya mtu anajifanya ni yake, kumbe umesetiwa, mkimaliza biashara anasepa, siku umepata la kupata, unaenda unakuta mawingu.
Simu ya Mkononi..
1. Hakikisha namba Mnayotumia kuwasiliana na muuzaji ni yake, imesajiliwa kwa ID yake..
2. Omba kitambulisho, kipige picha kikiwa na simu, na pesa unayompa.View attachment 2989836
3. Piga naye Selfie/record video akiwa ameshika ID yake na makubaliano ya mauziamo..View attachment 2989839
4. Fanya biashara hio nyumbani/ofisini au basi uchukue namba ya mtu wake wa karibu, huyo mtu umtafte wewe..
Shtuka ukiona haya.
1. Muuzaji wa simu anasema ni yake lakini haitumii inasoma imergence.
2. Phone status inasoma Custom.
3. Muuzaji anakuambia exchange allowed lakini haweki conditions zozote na ukiangalia simu ni ya gharama.
4. Muuzaji ana namba za simu nyingi kupitiliza,
5. Muuzaji kaweka tangazo, hajaweka namba ya simu anakumbia weka yako, au nenda PM
Nimepiga sana u winga, Nina scenario nyingi sana ambazo ziliniokoa.
YOTE HAYA YANAWEZA KUA MATESO,
NENDA SHOP YA KUELEWEKA ZAMA MFUKONI VIZURI, NUNUA KITU SEALED.
NOTE : SEALED na FULLBOX ni vitu viwili tofauti.
Kettle calling pot black.Mmmhhhh walimu wanakazi bn, lakini mshahara ndo issue duh!
Mwalimu wako wa mwandiko alkuwa halipwi vzr
Huo mwandiko ni wa kuandikia comment, sio wa kuandka post mdg angu, mthunguKettle calling pot black.
NOted, Ila ni changamoto kutambua namba zake zote.4. Muuzaji ana namba za simu nyingi kupitiliza,
Kettle calling pot black. JF hata baba yako unaweza kumuita mdogo wako.Huo mwandiko ni wa kuandikia comment, sio wa kuandka post mdg angu, mthungu
Relax mdogo Angu relax.Kettle calling pot black. JF hata baba yako unaweza kumuita mdogo wako.
Kwa faida ya wengi reyzzap ungeelezea simu ikiwa sealed na fullbox maana yake ni niniSikuhizi simu hasa hizi zilizo nje ya maboks, hata kama ni dukani usiingie kichwa kichwa...
1. Ukinunua simu nenda kwenye Phone status hakikisha ni Official sio Custom, hizo ni za mbio wanazibadilisha imei, ndio Kwa kupitia imei UNAWEZA usikamatwe ila siku uka restore tuu, kwisha habari yako., haitashika network, ukilazimisha kuirudisha upo nyavuni..View attachment 2989845
2. Hakikisha pamoja na kupewa Risiti ya ki electronic (hizi mimi hua sizikubali kabisa, hua hazioneshi model, imei n.k) omba risiti ya mkono, model ya simu iandikwe,
Imei number iandikwe, hii imei ifanane na ya kwenye boksi, ndani ya simu/software na oia i match na ya kwenye hardware yasimu, namaanisha nyuma ya simu(kama ipo)
3. Piga picha pale pale dukani,
4. Haikisha unapata mhuri na risiti ni ya duka lao,
5. Hakikisha unauziwa ndani ya duka lao(kuna mawinga wanajisogeza na fremu ya mtu anajifanya ni yake, kumbe umesetiwa, mkimaliza biashara anasepa, siku umepata la kupata, unaenda unakuta mawingu.
Simu ya Mkononi..
1. Hakikisha namba Mnayotumia kuwasiliana na muuzaji ni yake, imesajiliwa kwa ID yake..
2. Omba kitambulisho, kipige picha kikiwa na simu, na pesa unayompa.View attachment 2989836
3. Piga naye Selfie/record video akiwa ameshika ID yake na makubaliano ya mauziamo..View attachment 2989839
4. Fanya biashara hio nyumbani/ofisini au basi uchukue namba ya mtu wake wa karibu, huyo mtu umtafte wewe..
Shtuka ukiona haya.
1. Muuzaji wa simu anasema ni yake lakini haitumii inasoma imergence.
2. Phone status inasoma Custom.
3. Muuzaji anakuambia exchange allowed lakini haweki conditions zozote na ukiangalia simu ni ya gharama.
4. Muuzaji ana namba za simu nyingi kupitiliza,
5. Muuzaji kaweka tangazo, hajaweka namba ya simu anakumbia weka yako, au nenda PM
Nimepiga sana u winga, Nina scenario nyingi sana ambazo ziliniokoa.
YOTE HAYA YANAWEZA KUA MATESO,
NENDA SHOP YA KUELEWEKA ZAMA MFUKONI VIZURI, NUNUA KITU SEALED.
NOTE : SEALED na FULLBOX ni vitu viwili tofauti.
Ndo tabia zake huyo, hakuna cha just joking, hahaNB; Usje ukampa utelezi mana ushaanza kumsifia😀😀😀
Just joking!
Fungua class umu jf ufundishe watu jinsi ya kuandika vzr sio unaleta ujuaji kwa uzi wa mtu mwingneNatamani nisahihishe sehemu ulizokosea kuandika lakini sijui nianzie wapi nimechanganyikiwa wewe ni special case