Jinsi simu za mkononi zinavyoua mapenzi


tatzo watu wengi hawajui kuwa ndoa ni "mtu" na si watu. na kila mtu lazma awe huru kwa mwenzake, suala la cm ni muhmu liwe wazi kwa kila mtu kutumia kama kweli mmependana. lkn kama hakuna uhuru ktk cm zenu, hapo lazma mgombane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…