Jinsi simu za mkononi zinavyoua mapenzi

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,768
Hebu tujikumbushe jamani simu yako ya mkononi ilihatarisha vipi mahusiano yako au kuyaua kabisa. Simu hizi za mikononi zimekuwa na siri nyingi na wakati mwingine zimekuwa chanzo kikubwa cha kuua mapenzi.

Pia wachumba wamekuwa wakiachana kwa sababu ya simu hizi, wanandoa wamekuwa wakigombana kwa sababu ya hizi simu. Pia hata hii michepuko imekuwa ikiwepo kwa kuwa kuna njia rahisi yaani simu ya kuweza kuleta mawasiliano.


Karibuni tujadili
 
simu ya mkonon ilisababishaga ugomvi mpaka tukaamua kuziuza zote tukabak bila cm kwa miez miwil
 
niliyoona heading ya hii thread nilifikiri nitakutana na mambo ambayo yanafanya simu kuua mapenzi ila kumbe tunajadili ngoja niangalie naweza pata neno hapa
 
😜😜😜😜😜😜😜😜
 
Zile chating zile kule what's up na inbox ya simu ni shida
 
zinarahisisha mitongozo kupitia facebook na whatsup, unamtongoza mke wa mtu akiwa home kwake na jamaa yake yupo hapo hapo, zamani ilikuwa shida sana kumpata mke wa mtu inatakiwa uvizie jamaa kasafiri au kaenda job au uvizie mwanamke akiwa anatoka. Siku hizi very simple anakutumia mpaka papuchi yake kabla hamjaonana, wengine wanatuma mpaka madushelele ya bwana zao anakwambia ona kibamia hicho,
 
Mmmh!!!!!! inafika wakati simu inakukosesha raha, usipopokea labda hujaiona tu hizo kelele zake loh!!!!!! Kama hamna umeme mtu anatamani ucharge kwa damu lol. aisee, bora turudi enzi za barua.
 
Leo hii tumegombana kisa profile picture ya wasap niliyoiweka haijui ni nani.. nimemuweka dadang mtoto wa shangaz yang wa mjomba wake na bibi wa kaka yake kwa mjomba ndo mkewe kazaa nae mtoto mmoja ambae ndio huyu sasa
 
Hahahha quiet true uzinzi umerahisishwa sana umepata kitendea kaz zaman uktaka kumtongoza mschana kwanza umvizie kama daladala za mbagala hyo tu yaweza kuchukua miez kadhaa mkikutana mpaka aanze kuchuma majani na kuumauma vidole yan prosess ilikua inachukua miaka kadhaa ila sku hz dada mambo naomba namba yako ukiipata kwisha kazzzzzzzz na kuna haka katabia mke na mume simu zao ni vituo vya polisi yan utakuta cm inapasword mpaka kwenye phone book na wakat ikiita inapokelewa chooni yaan no sheeeeeedah
 
Leo hii tumegombana kisa profile picture ya wasap niliyoiweka haijui ni nani.. nimemuweka dadang mtoto wa shangaz yang wa mjomba wake na bibi wa kaka yake kwa mjomba ndo mkewe kazaa nae mtoto mmoja ambae ndio huyu sasa

ha ha ha haaaa
aisee mkuu nimecheka sana..
usiku mwema.
 
Hivi Nkurunzinza amefikia hotel gani maana nimesikia karudi Dar l
 
Simu yangu imeishiwa chaji, ntawasimulia kisa changu chaji ikirudi, aah sorry umeme ukirudi. Au?
 
Hivi Nkurunzinza amefikia hotel gani maana nimesikia karudi Dar l

watu wake hawataki arudi burundi hivyo bora afanyiwe mchakato wakumpoleka kwenye kambi ya wakimbizi kigoma akaungane na watu aliowasababishia maisha magumu.
 
du mi nilipopigiwa cm na mchepuko mida ya usiku mnene mama watoto alinichunia wiki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…