DubwashaNimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia.
Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za serikalini.
Ila nimejiuliza inakuwaje hadi Oman inaposemekana amejijengea mazingira fulani fulani na kwamba ana mizizi yake ya kidugu nao wanamshangaa?
Embu jioneeni wenyewe. Post original ni hiyo ya kiarabu kitupu. Hizo zingine nimetumia google kutafsiri.
Huo mtandao nimechunguza ni halali kabisa na siyo feki.
Mkiambiwa form 4 alipata D moja ya kiswahili mueleweNimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia.
Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za serikalini.
Ila nimejiuliza inakuwaje hadi Oman inaposemekana amejijengea mazingira fulani fulani na kwamba ana mizizi yake ya kidugu nao wanamshangaa?
Embu jioneeni wenyewe. Post original ni hiyo ya kiarabu kitupu. Hizo zingine nimetumia google kutafsiri.
Huo mtandao nimechunguza ni halali kabisa na siyo feki.
Afadhali wamefahamu ukweli Ili akisikia amekimbilia Kwa wajomba zake wajue sababuNimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia.
Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za serikalini.
Ila nimejiuliza inakuwaje hadi Oman inaposemekana amejijengea mazingira fulani fulani na kwamba ana mizizi yake ya kidugu nao wanamshangaa?
Embu jioneeni wenyewe. Post original ni hiyo ya kiarabu kitupu. Hizo zingine nimetumia google kutafsiri.
Huo mtandao nimechunguza ni halali kabisa na siyo feki.
πππππAfadhali wamefahamu ukweli Ili akisikia amekimbilia Kwa wajomba zake wajue sababu