Ashakwambia tatizo limemuanza kabla hata hajaanza kunyetuka!!Pole sana na hayo ndo madhara ya nyeto, acha nyeto, kula vizuri na fanya mazoezi. Fanya hivyo ndani ya muda wa miezi 3+ bila kunyetuka, bila sex utaona mabadiliko.
Ukishapiga hizo dkk 2 haisimami tena?
hata kabla ya nyeto ( miaka minne baada ya kuanza sex)Pole sana na hayo ndo madhara ya nyeto, acha nyeto, kula vizuri na fanya mazoezi. Fanya hivyo ndani ya muda wa miezi 3+ bila kunyetuka, bila sex utaona mabadiliko.
Ukishapiga hizo dkk 2 haisimami tena?
Miaka 30 una kilo 57?Habari Wakuu
Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.
Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.
TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex. Nilienda nalo.
Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.
Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.
Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.
Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.
Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.
KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.
Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.
Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.
au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tuu.
Maana kwakweli inauma sana.
Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi
mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.
Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Ukirudia bado unachapa tako mbili chali??hata kabla ya nyeto ( miaka minne baada ya kuanza sex)
Nilikuwa ni hivyohivyo.
Nikimaliza naweza kurudia sema inachukua hadi dkk10 mpaka nusu saa.
Kurudia narudia hata mara nne.
Njoo PM nikuuzie vumbi la Congo ukamnyooshee goti vzrHabari Wakuu
Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.
Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.
TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex. Nilienda nalo.
Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.
Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.
Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.
Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.
Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.
KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.
Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.
Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.
au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tuu.
Maana kwakweli inauma sana.
Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi
mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.
Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Ila hili suala la kurudia game nadhani inategemea na nyie wawili hapo, mfano mm kuna mtu niko nae sa h game la kwanza ntamaliza vzr ila game la pili siwezi kumwaga bali ntachoka na kuacha game mpaka badae sana.hata kabla ya nyeto ( miaka minne baada ya kuanza sex)
Nilikuwa ni hivyohivyo.
Nikimaliza naweza kurudia sema inachukua hadi dkk10 mpaka nusu saa.
Kurudia narudia hata mara nne.
Kila muda ukiwa unabadili style hapo unaipa muda **** kuvuta pumzi hvy muda utaongezeka tuu, ila tatizo liko pale pale.Zinaongezeka kidogo zinaongezeka, hasa nikijaribu kubadili badili style.
Tumia uludishe heshima kwanza alafu mengne yatafuataYAani imefikia natamni nitumie hata sildenafil(ila naogopa nisije pata heart complication) ili nirudishe heshima kwa huyu demu, maana kanidharau sana.
Achana na hvy vidonge, ndio yale yale ya viagra that's why I prefer vumbi la Congo.YAani imefikia natamni nitumie hata sildenafil(ila naogopa nisije pata heart complication) ili nirudishe heshima kwa huyu demu, maana kanidharau sana.
Nauza mmVumbi la congo nalipataje