Ni kwamba Puma alimsaliti Adidas alimdanganya kwamba hatamsign pele ila akamfuata kwa siri na kumsign inasemekana alipewa 120,000 usd.Ilikuwaje Pele akavaa kiatu cha kampuni ya PUMA wakati mkataba ulikuwa unataka asiwepo wa kuingia nae mkata wa kibiashara?.
Logikos
Mkuu kama unamaanisha Video hio ni Mexico sio Ulaya; Pili wakati Africa tuna Timbuktu au huko Egypt kuna civilisation sehemu nyingi za ulaya walikuwa ni barbarians....1970 ya Ulaya ndo 2025 ya Tanzania.. 🥺 🥺, Africa ni Africa tu..
Ingawa huenda ugomvi wao uliwafanya wajitahidi ili kumpita mwenzako hivyo kuwa Kampuni kubwa ulimwenguni au walichofanya kilimpa mwanya NIKE kuweza kuwapita wote...Puma saa hizi wanapumulia mipira, Adidas anamkimbiza.
Ila hii trick puma walicheza sana, ingekuwa ni miaka hii ya utandawazi, wangeuza mnoo
Ni upuuzi hata kwa wao kugombana ila hii ilipelekea hadi miji miwili yote kugombana sababu ilikuwa inatengwa na mto kwahio hadi huko watu waliwaita a town of bent necks..., Yaani kila mtu akiwa anatembea anaangalia chini umevaa nini ili aone kama atakusalimia au hapana ? Ingawa mayor wao ili kujaribu kuunganisha watu alikuwa anavaa viatu vyote Puma na Adidas (ukizingatia pia hizi kampuni zilikuwa major employers)wezenu wanagombania biashara nyie mnagombania vidonda ndugu
Bora wao ipo siku watapatana na nyie kwenye vidonda ndugu mkipata ukimwi anawapatanisha nanNi upuuzi hata kwa wao kugombana ila hii ilipelekea hadi miji miwili yote kugombana sababu ilikuwa inatengwa na mto kwahio hadi huko watu waliwaita a town of bent necks..., Yaani kila mtu akiwa anatembea anaangalia chini umevaa nini ili aone kama atakusalimia au hapana ? Ingawa mayor wao ili kujaribu kuunganisha watu alikuwa anavaa viatu vyote Puma na Adidas (ukizingatia pia hizi kampuni zilikuwa major employers)
Walikufa bila kupatana na wala hawakuzikana; walifikia hadi hatua ya kuchongeana ili mmoja wao aweze kufungwa in short vita vyao vilikuwa ni balaa na huenda wasingetengana Adidas ingekuwa bora zaidi kwani Adolf alikuwa mbunifu sana na Rudolf alikuwa ni Marketing Genius..., Na Ugomvi huu ulihamia hadi kwa watoto ambao mmoja wao alimsaliti mwenzake kwenye Pele Pact...Bora wao ipo siku watapatana na nyie kwenye vidonda ndugu mkipata ukimwi anawapatanisha nan
wabakie hivyo hivyo wakipatana kampuni zao zitakufaWalikufa bila kupatana na wala hawakuzikana; walifikia hadi hatua ya kuchongeana ili mmoja wao aweze kufungwa in short vita vyao vilikuwa ni balaa na huenda wasingetengana Adidas ingekuwa bora zaidi kwani Adolf alikuwa mbunifu sana na Rudolf alikuwa ni Marketing Genius..., Na Ugomvi huu ulihamia hadi kwa watoto ambao mmoja wao alimsaliti mwenzake kwenye Pele Pact...
Kampuni sio zao tena zilishauzwa na wamiliki ni wengine ila arguably unaweza kusema kwamba vita vyao vilimpa upenyo NIKE, pia Puma bila Creativity ya Adidas ilikosa muelekeo na Adidas bila Charisma na Salesmanship ya Rudolf ilipoteza kitu fulani ila ndio hivyo Hadithi yako ya Maisha yao ni ya Kusisimua na Kushangaza na ni from rags to riches na creativity sababu kabla yao kulikuwa hakuna specialized sports shoes...; Na arguably Adolf ndio alifanya Ujerumani ikachukua kombe la dunia (sababu aliingia nao mkataba wavae Adidas) na mechi ya mwisho aliwapa viatu ambavyo unaweza ukaongeza (unscrew) meno hivyo kwa hali ya hewa ya mvua iliwasaidia wajerumani ingawa walikuwa inferior kwa timu ya Hungary (The Golden Team) 1954 (Hakuna mtu angeweza bashiri kwamba Ujerumani ingeshinda) ila hali ya uwanja na advantage ya viatu iliwasaidia.wabakie hivyo hivyo wakipatana kampuni zao zitakufa