Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,311
- 5,265
Mkuu waache waendelee kulala. Wakiamka watakuta CCM bado ipo Ikulu.Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.
Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.
Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
- Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
- Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
- CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
- Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Sahau Kufa chedema Aliyeijaribu kuiua chadema kafayeye, chadema bado ikistawiHuu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.
Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.
Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
- Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
- Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
- CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
- Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Zuzu mumeo bwege weweSasa lione hili
Lione hili zuzu, km anawasikiza watu dizain hii ambao hawana ht kadi ya mpiga kura unategemea nini.
Sawa wewe mwenye akili. Lakini wananchi tunataka mabadiliko ya katiba ya uchaguzi isipofanyika kwa hiari itafanyika hata kwa lazima.We mwehu huelewi maana ya wananchi, wananchi wote nchi hii wanawakilishwa na wabunge.
Hii inaakisi uwezo wa watu waliopo ccm, hawawezi kujenga hoja bila matusi, ujuaji mwingi ikiwa hawaelewi chochote.We mwehu huelewi maana ya wananchi, wananchi wote nchi hii wanawakilishwa na wabunge.
Amini nakwambia. Mtakufa nyie na kuiacha CHADEMA ikiwa imara zaidi ya hata ilivyo sasa.Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.
Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.
Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
- Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
- Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
- CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
- Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Kuna aliejiapiza kua ataiua CDM labla ya 2020 kufika nadhani majibu yake unayo? Hii haina kurudi nyuma bila CDM mnajua fika mtakosa uhalali wa ku validade madudu yenuHuu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.
Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.
Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
- Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
- Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
- CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
- Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Tunaosema " No reforms, NO election". Ni sisi wananchi chadema ni speaker tu. Sisi tuliokupa dhamana ya kushika dola kwa muda tunataka reforms.
Sisi kama maboss tunaagiza kwa mfanyakazi wetu nataka nifanyie reforms kwenye katiba ili niingie kwenye uchaguzi ulio huru na tume huru.
Wewe ulie mfanyakazi wangu unanipinga kwa maslahi yako binafsi hujioni wewe ni tatizo hapa.
Mkuu hapo kwenye namba tatu ni kama unatabiri kifo cha CDM .Rekebisha hapo mkuu maana wote wanaotabiri kifo cha chadema huwa wanakifa wao.Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.
Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.
Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
- Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
- Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
- CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
- Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Hiv unadhani chadema wanasimama Kwa maslahi yao katika hili?Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.
Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.
Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
- Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
- Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
- CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
- Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Chadema haifi leo wala kesho.Lile shetani la chato lilishindwa kuiua.Hakuna anayeweza CHADEMA ni imani.nikifa mimi wala sio tatizo, tatizo ni kufa chadema kwani ile ni taasisi.
Mimi ni sauti ya wananchi tuliochoka dhuluma.Wewe na nani mkuu?
Awamu hii imejiua yenyewa..Sahau Kufa chedema Aliyeijaribu kuiua chadema kafayeye, chadema bado ikistawi
Ukisusa hadhuru, mambo yanaendelea bila wasi wasi...Ninyi hamjui tu , kipofu ( CCM) akitaka kuvuka DARAJA la magogo huwa lazima asubiri mtu amshike mkono. Haamini Ile fimbo yake . Sasa chadema msitumike kuvusha mtu . Ninyi mshiriki yajirudie Yale Yale ya Mwaka 2020. Hapa ,Ni No reform no election.
Mkuu acha kuota mchana, utaishia kujidhuru tu, ihurumie hata familia yako basi..Sawa wewe mwenye akili. Lakini wananchi tunataka mabadiliko ya katiba ya uchaguzi isipofanyika kwa hiari itafanyika hata kwa lazima.