Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,093
- Thread starter
- #21
Haha ni mambo ya kawaida haya mkuuHaka kastori kanatia nyege..
Haha ni mambo ya kawaida haya mkuuHaka kastori kanatia nyege..
Mungu awafanikishe kufikia malengo yenu
Nawatakia Kila La Kheri
Hapo ndoa inaweza kuja kuwa mashakani hapo baadae.... Huyu mpenzi wako wanaweza kuja kukumbushia ya zamani na huyu jamaa wake wa mwanzo walio achana na ww huyu mpenzi wako aliye enda masomoni anaweza kuja kurudi mkaja kukumbushiani kupasha kiporo...
Hah all the best buda....
Sawa mkuu ila cjui kama ulikumbuka kifanyio (kondom)
Kaka shigongo kazini
Shukran mkuu.Kama kweli hongera.
Lakini akili inaniambia kama kuna kumcopy jamaa flani hivi anastori za kuelezea tendo hadi kuwa hamshia dude warembo wa JF.
Huna lolote ww..zero na ana wako zero kabisa