Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,093
Baada ya kuachana na mwanamke niliyedhani ni wa maisha yangu, nilikaa single kwa miaka kama miwili. Kipindi chote hicho sikua na hamu na mwanamke wala kuingia kwenye uhusiano tena na ndicho kipindi nilichokutana na Anna (sio jina halisi). Tofauti na wanawake wengine, Anna nilikuwa namtamani ila nikawa najizuia kuonyesha wazi wazi. Mimi nilikua single ila yeye alikua na mtu, urafiki wetu ukazidi ikawa mpaka anakuja kunitembelea place yangu tunapiga story (huku namla kwa macho). Later on boyfriend wake wa miaka 7 akamcheat na best friend wake so Anna akamuacha. Kwa kua alikua ndio amemaliza chuo bado hana kazi yoyote, visits kwangu zikawa nyingi zaidi angalau mwezi hauishi bila kunitembelea weekends, mara nyingine hadi twice.
At that point nilijua yupo vulnerable ila sikutaka kutake advantage ya situation yake, na pia sikua nina ukakika kama nipo tayari kuanzisha uhusiano achilia mbali a rebound relationship, kwa hiyo nikaendelea tu kumla kwa macho. Tukazidi kuwa karibu, kuwasiliana kila mara akawa na wivu na mimi n.k. Kwa kifupi alikua ananichukulia kama wake. Siku zilipoenda, kuna kitu 'special' nikaanza kukiona kwa Anna. Ukiachilia mbali sexy body, alikua na akili za darasani (alibeba zawadi best student) na za kimaisha. Pia ni mvumilivu na anajali. Kwa kifupi alikua na sifa nyingine nyingi ninazo zihitaji kwa mwanamke, nikaanza kupata hisia kwake, zaidi ya za kimwili.
Siku moja alikuja kunivisit amevaa nguo iliyoacha wazi kidogo sehemu za kifua. Wakati tunapiga story mimi nipo busy na kodolea cleavage/matiti mpaka akanishtukia akapafunika. Muda wa kuondoka, nikamsogelea nikaanza kumchezea nywele, story za uongo na kweli oh napenda nywele zako n.k. Akawa ametulia tu. Kitu nilichokua sikijui, ni kwamba hisia zake zipo maeneo hayo. Akaanza kufunga macho pumua kwa kasi, nikamsogelea zaidi kumpiga kiss, akaipokea. Mikono yangu ikaanza kufanya kazi. Nikambeba mpaka kitandani. Tukafanya kila kitu ila kuvua nguo za chini (underwear+jeans) akagoma. Nikaona, isiwe ishu nikamuacha. Tukavaa nikamsindikiza.
Siku kadhaa zikapita bila kuongelea hicho kitendo mambo yakarudi kama zamani. Akaja tena kama mara nyingine mbili ndani ya miezi 2, sikumfanyia mishe yoyote nikawa namtania usije tena huku ntakubaka anacheka anasema wewe huwezi nakuamini, nikawa namwambia usimwamini mwanaume yoyote hata mimi, anazidi kucheka. Mara ya tatu akaja, that day niliweka movie, kwa wale mnaofatilia mnaifahamu The Martian tukawa tunachekia kwenye laptop. Katikati ya movie, nikaanza kumkiss, akanipa support yote niliyoihitaji. Nikaona hapa sio mahala pake, nikamwambia tuhamie kitandani, bila kusema neno akaenda. Tukaanza mishe. Nikamvua nguo zote za juu, na mimi akanivua tshirt. Nikaanza kuyachezea, shika, nyonya maziwa, Anna akazidi kulegea. Akaanza kufungua mkanda wa trouser yangu, akaitoa mashine nje, akawa anaichezea nikajua leo kinahappen. Nikaslip mkono ndani ya jeans, hakunizuia, vidole vikaanza kuchezea clit. na pussy nikakuta tayari yupo wet mbaya. Akaanza kuvua nguo zake mwenyewe, ili mambo yaende fasta nikamsaidia then na mimi nikavua..wote tukabaki uchi. Hakutaka kupoteza muda, akaniambia niiingize. Dakika kadhaa badae tukawa hoi, tukazama bafuni. Humo tukaendelea na round 2 tulipotoka tukapiga tena mpaka tulipochoka. Later jioni nikamsindikiza.
Ikawa ndio mchezo, anakuja asubuhi tunapiga game jioni namsindikiza. Kipindi chote hichi bado hatukua tunadate. Naweza kusema tulikua friends with benefits. Miezi kama mitatu baadaye, ex wake akaomba warudiane. Akaja kwangu kuniomba ushauri, nikamwambia usikilize moyo wako. Na hicho ndicho alichofanya, siku kadhaa mbele wakarudiana. Urafiki wetu ukaendelea kama kawaida, ingawa swala la sex likaisha. Haikupita miezi miwili akaniambia hawezi kuendelea naye kwa sababu kila mara anakumbuka jinsi alivyochitiwa, na hana ukakika na hisia zake kwa jamaa..kwa hiyo wakaachana. Katika Kipindi hicho amerudiana na ex, mimi tayari nilishaingia kwenye uhusiano na demu mwingine.
Urafiki wetu ukaendelea sometimes tunatalk about sex jinsi tulivyomiss kutiana n.k ila inaishia hivyo hivyo. Demu wangu akawa anataka kwenda Ghana kusomea Udaktari, na kwa mujibu wake atakaa huko miaka 5. Mbaya zaidi hakuniambia, mpaka week 2 kabla hajaondoka. Mimi umri unaenda, nikaona nitamdanganya mtoto wa watu. Tukajadili hilo swala tukakubaliana tuachane kwa amani, mawasiliano yakawa wazi. Nikarudi kuwa single.
Mimi na Anna, tukarudia kale kamchezo ketu. Kuna muda nikawa nakaa natafakari, naona kabisa huu ndio muda muafaka wa mimi kuingia rasmi kwenye mahusiano yani nipo tayari. Nikapropose kwa Anna tuwe official, ila akakataa kata kata. Hivi unaweza ukaamini hicho kitu kweli? akasema tuwe tu friends kwa sababu tukidate tunaweza achana halafu tukawa maadui au tusiongee tena na vitu kama hivyo. Kuhusu hisia, anasema anazo hilo hana mashaka kwa kifupi amezama kwenye penzi na mimi. Nikamwambia, siku ukipata mume au mimi mke, ndio unaweza ukawa mwisho wa urafiki wetu. Ilichukua wiki kadhaa za kubembeleza/chombeza mpaka akakubali kuingia kwenye uhusiano na mimi.
Ni takribani miaka mitatu sasa tangu mimi na Anna tuwe official. Sijawahi kujutia huo uamuzi, anajiheshimu na ananiheshimu, najisikia fahari kuwa naye. Tumeshatambulishana kwa wazazi na hatua zaidi zinafuata. Japo ni mapema kumuita mke wangu, ila Mungu akitujalia mwakani (2018) ndivyo itakavyokuwa. Kuna muda hua tunakumbushana historia yetu tulipotoka, tunaishia kucheka. Ananimbia, sababu moja wapo iliyopelekea awe anakuja mara kwa mara ni care niliyokua nampa pamoja na kumuheshimu yeye na mwili wake. Anasema ile siku ya kwanza kama ningelazimisha kumla/ningembaka basi ingekua ndio mwisho wetu. Namuuliza kwanini sasa alikua anadengua kunidate anacheka hana cha kujibu zaidi ya kuniambia tu anamshukuru Mungu alinikubali.
Mwisho, hii ni historia yangu jinsi nilivyo pata mwenza. Najua ni wengi sana wanatafuta mke/mume ila bado hawajapata. Japo sio rahisi kupiti njia kama yangu, ila ni muhimu kujiheshimu na kuwaheshimu wengine. Usiwe mbinafsi na wajali wanaokuzunguka, especially jinsia tofauti. Unaweza tengeneza fursa mbeleni. Last but not least, usikate tamaa, hata wewe kuna mtu wako somewhere. Nawatakia mafanikio mema.
God bless you all.