didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,101
- 3,566
tayar nn mkuu?Tayari
Ntapona tu na imani hioKitu na box...
Azuma zinakuhusu kiongozitayar nn mkuu?
huo sina mkuu nimepimaUkimwi umepima?
nimetumia siku tatuAzuma zinakuhusu kiongozi
Me too wa ubani mbona umedislike sweetieI lovyu
Ahsante sana mkuu ubarikiwe mno.Una busara sana ngoja CDM tuchukue dola tukupatie hata ukuu wa wilayaChief unajua nini! Ondoa presha hivo vipele vimetokana na msuguano kati ya kinena na kinena na n kwasababu ulikaza saana.
Hvyo ondoa hofu upo mikono salama
Sema nini inabidi ujipongeze maana wanaume kama mimi tuko wachache wa kuunganisha bao tatu bila kuchomoa. Wengi sik hiz kimoja chali mpk abost na energy pluz paracetamol
Ahsante sana kwa nasaha zilizojaa busara. Kuhusu kupendana apo ndo tatizo me najua ntamtesa tu mdada wa wa2 maan nahisi bado sijaumaliza hata kidogo ujana wangu.Pole na hongera sana, kutokana na hiyo chat ninyi mnapendana na mmeenjoy. Sasa chakufanya mkatibiwe hakikisha huyo carrier wako amepona muendelee kuenjoy.
Jitunzeni jamani kuna watu tunakaribia kuzeeka hatujawahi pata STDs, inawezekana vijana!