Jinsi nilivyonusurika kutapeliwa!


Yaani unge ibiwa ki fala kweli
 
kweli kabisa mkuu hata mimi nilishawahi tapeliwa kwenye ofisi yangu kwa njia ya hizi za nguvu za giza yaani unajikuta mwenyewe unatoa pesa yaani akili inapotea kabisa
Hakika mkuu
 
Daaah ni kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…