Kwa Vile Uko Ktk. Ndoa, Uchumba Au Mahusiano, IKIWA Mtt Amezaliwa Na Ww Haujashitukia Na Wala Hakuna Mtu Anayedai Mtt Wake!! Basi Tulee Tu Wtt Jmn, Kwani Mtt Hana Hatia Yoyote Ile!! Kama Mamake Amemtambulisha Mtt Kwa Babake HALISI, Hapo Ni Tatizo!! Lkn Kama Mamake Amekausha Tu!! Basi Tuwalee Wtt Wetu Tu!!!! ALAFU Ktk Kadhia Hii, Wanaume Ndio Tunaolia Kuwa Tunambikwa Wtt!! Ni Kweli Kabisa, Ila Mjadala Huu Ni Mpana Kidogo!! Kuna Vitu 2 Hapa Vya KUZINGATIA!! Kuna Hilo La Wanawake Na Mahusiano Na Zaidi Ya Wanaume 2 -3!!! Sasa Kwa Bahati MBAYA Amepata Ujauzito, Basi Anachuja Hao WANAUME Na Kumfuata Yule Mwenye MALENGO MAZURI KIMAISHA, Ambaye Ataweza Kumtunza Yeye Na Mtt Atakayezaliwa!!! Au Yule Anayeona Ni Kifaa Mbele Ya JAMII!!! Na Kwa Wale Walioko Ktk. Ndoa Kuna Vitu 2 Pia, Kuna Wanandoa WASIO Waaminifu, Kiasi Cha Kupelekea KUPATA MIMBA Nje Ya Ndoa Zao, Hata WANAUME Kuwapa Ujauzito Wanawake / Mabinti Wanaotembea Nje Ya Ndoa Au Pia Kubambikwa Kwa MTINDO Huu!!! JAMBO KUBWA Kwa Wanaume Wengi Tulioko NDANI Ya Mahusiano Ya Aina Yoyote, Basi Tuwe Na UTARATIBU Wa KUCHECK Afya Ya UZAZI Jmn!! Wengi Tu Kutokana MIFUMO Ya Maisha Tunakulia Na Kuendelea Kuyaishi YANAPELEKEA Afya Ya Uzazi Kuwa DHAIFU!! Kitu Ambacho Kinapelekea KUSHINDWA KUWAPATIA Ujauzito Wake Au Wenza Wetu!! Na Hili Uwa Ni Zigo La Lawama Kwa Wanawake!! Kuanzia Kwa Mumewe Na Wanafamilia Wa Upande Wa Mumuwe!!! Huku Wanaume Wengi Wakigoma Kwenda Kufanya Vipimo Vya Afya Ya Uzazi! Kwa IMANI Kuwa Wao Wako SAWA, Kwa Vile MAshine Zinasimama Na Kutoa Mzigo!!! Kumbe Huo Mzigo Ni DHAIFU, Hauwezi KABISA KULETA MAZAO!! Mbegu DHAIFU Na MAZAO HAKUNA!!!!! Hivyo Kutokana Na Ubishi Wa WANAUME Kwenda Kupima Na Kupata Ushauri Wa Kitabibu Na Makelele Na Masimango Ya Mumewe Na Ndugu Zake! Hali Hiyo Inamnyima Amani Mno!!! Hivyo Mwanamke Ataanza Kutafuta Njia MBADALA!! Kwanza Ataanza Kutafuta KUJUA Kama Kiafya Yuko VIZURI Na Baadae Ataanza Kujifanya Anakunywa Dawa Za Kurekebisha Homoni Zake Na Hapo Ndipo Atakumbuka Vidume Vya Siku Za Nyuma Wakiwa Shuleni Na VYUONI!!! Atawatafuta Na KUWAPATIA Mambo Na HATIMAYE Kupata Ujauzito Huo!! Na HATIMAYE Wtt Wanazaliwa Na KUPAMBA Family ZETU!!!