Massa
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 709
- 891
Habari za jumapili wakuu
Story yangu ya kumiliki boda boda ilianza kama utani tu siku moja niliamua kuchongesha kibox ambacho nitakua naweka coins ndani yake. Kwa hiyo nikajiwekea malengo kila siku nitakua natumbikiza coins yoyote kila nikiludi kutoka kwenye miangaiko. Kuna kipindi nilikua naweka ata 500 au zaidi siku nyingine siweki maana nakua sina. Ilinichukua miaka 2 atimae week ilopita nimekibomoa na kutoa coins zote nikahesabu na kupata milioni 1, laki nane na elf 90.
Hivyo kwa kua hamu yangu ilikua ni kumiliki boda fasta tu nikawai dukani hivyo kwa sasa namiliki na kuiendesha mwenye.