Jinsi nilivyoanza maisha!!

very very well said......bado kuna watu mnaweza kushauri....UTUKUFU KWA MUNGU ALIYETUUMBA TAFADHALI.....
 
Good! Hope hujavipata kwa cku moja hivyo vitu
 
Nina miaka mitatu kwa kazi ila sikufuru kwa MUNGU WANGU KABISA amenipa viwanja viwili vikubwa kimoja ni karibu robo tatu hekari site nzuri mno na tena amenijalia majukumu ya familia na Nina mtoto mchanga sasa ( my baby boy) ,biashara kwa mke wangu na tena miradi kama wa mbuzi na kuku na nimejenga kanyumba ila ni kadogo nataka miradi ya mifugo iwe huko ......vyote kwa yote ni huyu MUNGU WANGU TU.......NAMSHUKURU MNO .......nikushauri kijana mwenzangu usikate tamaa na pia wekeza zaidi kwenye biashara kuliko kazi na tena uongeze sana maarifa ya kufanya biashara hizo ......pia usisahau kitu kinaitwa vipaumbele ili ufanikishe jambo moja moja kwa ufanisi zaidi......baada ya miaka miwili utaona ninachokushauri.......SHUKRANI IN ADVANCE
 
Hongera kwako kiongozi kwa hatua ulofikia, kikubwa vijana tujitume tu pale tunapopata fursa ya kufanya jambo. Hakuna maisha rahisi ni kupambana tu!!
 
msema kweli

Mpenzi wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…