Jinsi nilivyoanza maisha!!

Utakuwa unafanya BAKITA mkuu si bure
 
Na mie nitapambana mpaka nipate nyumba na gari.Mungu nisaidie
 
dah miaka kumi nyumba haijaisha?, dah
Dah... miaka 10 ni wiki 520...kwa nyumba ya kawaida ya matofali 2000...kihisabati anajenga matofali chini ya 4 kila weekend [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
26 age hekari kumi za korosho,hekari 7 za kahawa.. Nguruwe 200 wenye thamani ya 250k@1..vifaranga wa Nguruwe wasio na idadi..sina mke..

By 2020 naacha rasmi ajira serikalini
 
Hao nguruwe unafugia location ipi mkuu
 
26 age hekari kumi za korosho,hekari 7 za kahawa.. Nguruwe 200 wenye thamani ya 250k@1..vifaranga wa Nguruwe wasio na idadi..sina mke..

By 2020 naacha rasmi ajira serikalini
Hongera mkuu na mimi nina penda kutoboa kama wewe siyo mbaya ukinipa a,b,c za mafanikio yako kama hutajali.
 
26 age hekari kumi za korosho,hekari 7 za kahawa.. Nguruwe 200 wenye thamani ya 250k@1..vifaranga wa Nguruwe wasio na idadi..sina mke..

By 2020 naacha rasmi ajira serikalini
Dodoma>>>>Mpwapwa>>>kijiji kimoja kinaitwa Iyenge.
 
Dah... miaka 10 ni wiki 520...kwa nyumba ya kawaida ya matofali 2000...kihisabati anajenga matofali chini ya 4 kila weekend [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3] [emoji2] [emoji28]
 
Hongera mkuu, sauti kama hizi zinaitajika zaidi mtaani na mtandaoni kuwapa msukumo wa ndani vijana wenzangu walio na woga wa maisha.

Binafsi na miaka yangu hii midogo (25) graduate (nimejiajiri) nimepanga room safi na vitu vyote muhimu ndani (mziki,kitanda,jiko,kabati, vitabu, meza na kitu vya kusomea).

Kudos mapambano yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…