Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Dah! Kaka hyo nyumba nilianza kujenga mwaka wa5 wa ajira kwa kutumia mkopo, halafu majukumu nayo yakaongezeka wkt kipato ni kilekile hivyo nikahamisha vipaumbele, finishing ya nyumba ikawa sio kipaumbele tena bali kwanza kula, kusoma, uwekezaji then finishing taratibu kwa awamu!!dah miaka kumi nyumba haijaisha?, dah
hongera bro Mungu akakuongezee hitaji la moyo wako. endeleza mapambano.Swallamah wakuu,
Maisha ni safari ndefu leo nimetimiza miaka 10 toka nisaini mkataba wa ajira hapa ninapofanya kazi, na cjawahi kujuta kufanyia kazi hapa.
Ngoja niende moja kwa moja kwa point. Basi bana nilipopata mshahara wangu wa kwanza nikanunua godoro(bila kitanda), kajiko ka mchina,sufuria mbili,miko miwili,kisu na vijiko! Nikanunua na "home theatre" yenye thamani ya kitanda cha 6*6,naomba ku"declare interest" hapa, yaani mimi ni mlevi wa muziki(ulevi huu unazidi ule wa papuchi, pombe, madawa, sigara na mengineyo). Nafikiri nisingepata hii kazi ningekuwa mwanamuziki. Namshukuru Mungu ndani ya miaka hii kumi nimeweza kujenga kanyumba kwny skwata japo hakajaisha, nina kausafiri(baby walker ila sio passo) na watoto wanaenda shule na kupishana njia ya msalani kila siku. Maisha ni mapambano ndg zangu nawe endelea kupambana.
Subiri matusi/kejeli.Mi sijaajiriwa nna miaka 25 ninamiliki kampuni mbili moja ya mavazi nyyingine ya technology
Kampuni zangu zina miaka mwili kwenye market I hope zitaanza kunilipa vyyema baada ya kutengemaa
Nimepanga chumba kimoja well furnished teh teh teh.......
Maisha sio haba
Natamani niajiri watu wengi zaidi kampuni zangu zikikuwa na kutanuka zaidi
Ha ha haaSubiri matusi/kejeli.
Kaa hapo hapo usiondoke.
Sawa sawa ukafungue na Bukoba infactMi sijaajiriwa nna miaka 25 ninamiliki kampuni mbili moja ya mavazi nyyingine ya technology
Kampuni zangu zina miaka mwili kwenye market I hope zitaanza kunilipa vyyema baada ya kutengemaa
Nimepanga chumba kimoja well furnished teh teh teh.......
Maisha sio haba
Natamani niajiri watu wengi zaidi kampuni zangu zikikuwa na kutanuka zaidi
Jambo la kwanza hongera.Swallamah wakuu,
Maisha ni safari ndefu leo nimetimiza miaka 10 toka nisaini mkataba wa ajira hapa ninapofanya kazi, na cjawahi kujuta kufanyia kazi hapa.
Ngoja niende moja kwa moja kwa point. Basi bana nilipopata mshahara wangu wa kwanza nikanunua godoro(bila kitanda), kajiko ka mchina,sufuria mbili,miko miwili,kisu na vijiko! Nikanunua na "home theatre" yenye thamani ya kitanda cha 6*6,naomba ku"declare interest" hapa, yaani mimi ni mlevi wa muziki(ulevi huu unazidi ule wa papuchi, pombe, madawa, sigara na mengineyo). Nafikiri nisingepata hii kazi ningekuwa mwanamuziki. Namshukuru Mungu ndani ya miaka hii kumi nimeweza kujenga kanyumba kwny skwata japo hakajaisha, nina kausafiri(baby walker ila sio passo) na watoto wanaenda shule na kupishana njia ya msalani kila siku. Maisha ni mapambano ndg zangu nawe endelea kupambana.
Nataka nikuajiri bossSawa sawa ukafungue na Bukoba infact
Safi sana, inapendeza kuona kijana mdogo umeshajiajiri in ur mid 25s, I can see ur bright future if u maintain life disciplineMi sijaajiriwa nna miaka 25 ninamiliki kampuni mbili moja ya mavazi nyyingine ya technology
Kampuni zangu zina miaka mwili kwenye market I hope zitaanza kunilipa vyyema baada ya kutengemaa
Nimepanga chumba kimoja well furnished teh teh teh.......
Maisha sio haba
Natamani niajiri watu wengi zaidi kampuni zangu zikikuwa na kutanuka zaidi
Hauwezi kunilipa.Nataka nikuajiri boss
Ndio wadau wanasema eti passo ni last class baby walker family carila sio passo
Nitumie CV zako mkuuHauwezi kunilipa.
Amina[emoji120]hongera bro Mungu akakuongezee hitaji la moyo wako. endeleza mapambano.