princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 381
Last edited by a moderator:
Da hapa jamii mtu katoa hisia zake nyie mnamshambulia hamjui kaathirika vipi kuzungumza hapa kaona ndio katoa fundo lake kuwa jasiri dada hata oprah alibakwa akiwa na miaka 9 tena baba yake mdogo imagine Leo hii kawa mwanamke jasiri mungu atakupa ujasiri