Jinsi nilivyo peperusha ndege wa3 leo samak samak.

Jinsi nilivyo peperusha ndege wa3 leo samak samak.

We lazima utakua na upunguf wa nguv za kiume,..bro consult ua doctor,..we kina clinton,hao kina tigger woods,jordan,mayweather woote ni walev wa papuch,we ni nan?

Uliowataja hawana, conscious ni zaidi ya kalumanzira.
 
Kumbe aisee, wengine hatuna magari ya kuringishia watoto wakali

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Kwan unafkir tunaringishia bas jose,..hiki ni chombo cha usafir tuu,..sasa unataka nitembee na mguu rafk yangu,hahahah
 
lol pole sana boss!
ndo inabidi ujifunze sasa siku nyingine usirudie kosa
 
Kwan unafkir tunaringishia bas jose,..hiki ni chombo cha usafir tuu,..sasa unataka nitembee na mguu rafk yangu,hahahah
Kuna wengine wakiwa na gari basi ndio mbwembwe nyiiingi ili tujue tu ana gari

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Uliowataja hawana, conscious ni zaidi ya kalumanzira.
Ni ngumu sana kukuelewa bro,..u liv in ua own world of abstract,..ila kwa hii dunia ya kawaida ,hao niliotaja ni recognisable kwa waliyo accomplish,wew ni nan?once again
 
Kuna wengine wakiwa na gari basi ndio mbwembwe nyiiingi ili tujue tu ana gari

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Aah sjawai waza hivyo kabsa,kwanza leo ndo umenifumbua macho,itabid niwe na edit sana maandiko yangu,maana watu wasije nifkiria vbaya nkakosa marafiki.
 
Kumbe unaongozwa na macho, basi sawa ila punguza pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahh mi siamin ku hit msichana ambae ni virtual,kama ni mwanaume mwenzangu je,maana hum ID fake ndo kwake,..af pombe niliacha hivo ujue,ila naona nmeanza tena,hahahah[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom