Jinsi navyoitimia nyiongeza ya mshahara

Jinsi navyoitimia nyiongeza ya mshahara

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
488
Reaction score
612
Habari Wana JF.
Kama mama alivyosema basi imekua na sisi hatunabudi kupitsha kalamu apo October.

Mimi nibaba wa mtoto mmoja kwa mwanamke wakinyamwenzi ila katika safari yangu na huyu mwanamke nilibahatika kupata mwanamke mwingine ambae nilizaanae ila mkewangu hajui kwani nilikua namlea kimya kimya kutokana na mshaharawangu kua mdogo, hvyo neema ya October tunatiki inanifanya nimuweke mkewangu wazi kua kunamwenzake niliebarikiwa kupata nae mtoto na niwasogeze wakae karibu ili kupunguza gharama.

Jambo lingine kunabint wahapahapa kazini ambae tunapendana sana naniponae kwenye mahusiano takribani mwaka mmoja ila hatujabahatika kupata mtoto kuhofia Hali yakiuchumi ila kwasasa nikiongeanae ili tuweze kupata mtoto japo nilimwambia tutaishi wote pale tutakapojenga, swala hili alilibariki namimi pia niliamua kulipitisha kwakua nimempima nimtuu ambae Hana mambo mengine naamewapita Hawa wakezangu wengine pakubwa kwani yeye anakipato kwahyo anaweza kumlea mtoto mwenyewe.

Naombeni ushauri nifanyaje watumishi wenzangu ilhali wote watatu niweze kuwaweka sehemu Moja 🙏🙏
 
Kila la kheri ndugu,ila uendako uwalee wote na kuhudimia watoto wote kwa usawa.
 
Mdau pale juu kasema vyema...

Hili nalo mkaliangalie vizuri, kabla hatujaengeza ingineyo
 
Habari Wana JF.
Kama mama alivyosema basi imekua na sisi hatunabudi kupitsha kalamu apo October.

Mimi nibaba wa mtoto mmoja kwa mwanamke wakinyamwenzi ila katika safari yangu na huyu mwanamke nilibahatika kupata mwanamke mwingine ambae nilizaanae ila mkewangu hajui kwani nilikua namlea kimya kimya kutokana na mshaharawangu kua mdogo, hvyo neema ya October tunatiki inanifanya nimuweke mkewangu wazi kua kunamwenzake niliebarikiwa kupata nae mtoto na niwasogeze wakae karibu ili kupunguza gharama.

Jambo lingine kunabint wahapahapa kazini ambae tunapendana sana naniponae kwenye mahusiano takribani mwaka mmoja ila hatujabahatika kupata mtoto kuhofia Hali yakiuchumi ila kwasasa nikiongeanae ili tuweze kupata mtoto japo nilimwambia tutaishi wote pale tutakapojenga, swala hili alilibariki namimi pia niliamua kulipitisha kwakua nimempima nimtuu ambae Hana mambo mengine naamewapita Hawa wakezangu wengine pakubwa kwani yeye anakipato kwahyo anaweza kumlea mtoto mwenyewe.

Naombeni ushauri nifanyaje watumishi wenzangu ilhali wote watatu niweze kuwaweka sehemu Moja 🙏🙏
Wanawake ni mapambo ya mioyo yetu mkuu,weka wote ndani tafuna mbususu bhana!.
 
Ogopa zinaa
 
UKistaajabu ya Mussa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom