Jinsi mdahalo ulivo muathili 52atiwm.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi mdahalo ulivo muathili 52atiwm..

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Leonard Robert, Jan 10, 2012.

 1. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  Kuna mdahalo uliendeshwa hapa janvini..
  Na wahusika wakuu ni huyo aliyetajwa hapo juu upande mmoja na upande mwingine ni kiranga himself.
  Kwakwel mdahalo huo ulianza kwa mbwembwe nyingi, lakini mh.52atiwm yeye alianza kwa mkwara eti mtoa mada apelekwe milembe.
  Upande wake mr.kiranga yeye alienda mojakwamoja kwenye point,nakunza kurusha mapande mazito mazito..
  Hali ilizidi kuwa tete kwa upande wa 52atiwm akapotea hewani.
  Wengi tulishangaa huyu kijana,kwani maneno yake kama 'muckrakers,phillia,tendentiousness,grandiloquence and linchpins hatukuyaona bali tulipata mapya kutoka kwa kiranga.
  Baada ya mdahalo huo siku hizi 52atiwm amekua hapatikani,zile thread zake hatuzioni tena..ni mwoga kuongea kiinglishi chake..
  Wito wangu kwakwe;nakuomba bwana 52atiwm rudi janvini kwa kishindo,yaliyopita si ndwele.. Usiogope kingeleza chako bado kipo juu..tushilikiane kumrudisha wadau.
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  Nakalibisha maoni.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  nI KWELI HUYU DOGO KWA SASA AMEINGIA MITINI!
  We are missing him anyway!
   
 4. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  kuna Mwita25 na 25atimw...wote wameingia mitini
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Yawezekana ni mapacha hao wameamua kujipa likizo!! L.O.L
   
 6. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mmoja wapo anatumikia kifungo(ban)
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Inamaana kichapo kimemkimbiza?
   
 8. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  amepigwa ban nyingine
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  Mdahalo ulimpanikisha akasumbuasumbua akapigwa ban.
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa inasemekana mapacha wa kufanana.
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  habari ndo hiyo..kiinglishi chake kilipata mpinzani wa nguvu sana..
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  atakuja na uzi mpya wa kujisifia kama kawaida yake..ila ishu ya kiinglishi hawezi tena.
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Du, si mchezo
   
 14. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  akome!!
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  alikua anakukera nini jombaa?
   
Loading...