Jinsi mapenzi yetu yalivyoingia ndani ya kaburi

We jamaa kosa kubwa ulilofanya ni kumwambia demu wako kua unamchepuko..
NOTE..ata mwanamke akukute chumban na mwanamke mwingine we kataa kabisaa na umluke mwambie tulikua hatufanyi mapenzi..wanapenda kudanganywa
 
Mhhhhhhh nilijua ukweli ndio kila kitu
 
Ninastory same na yako ila m nilimbembeleza mwaka mzima lakini wapi,nilikubaliana na hali nikaja nikapata qeen A\aaaa\
 
Maisha ya ndoa no sarakasi zisizoisha wala usijutie furahia kutojinyima Uhuru kula maisha achana na story za ndoa no furaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom