ako me maste
Member
- Jul 23, 2012
- 60
- 17
Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.
Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?
kuna wengine hawaambiliki ndg, pengine hata jinc ya kumuanza kumueleza yalo moyoni hawezi
Wakati unakula vitu vyake amri ulikuwa hauzioni..
Jichetue sasa upigwe risasi..
Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.
Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?
Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.
Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?
Wewe utakuwa mtumwa milele.
Hivi kwa nini huwe na mtu sababu una muonea huruma?
^^
Nenda tu umwache,kama kulia atalia yataisha..
Amekugharamia umejiona mzuriii, umependeza eti ee!
..
Nenda mwaya.. Katafute hubby wa kukubembeleza muda wote, wa kukuchekea 24hrs!
Nenda mwaya! Baada ya kumvuna nenda kasherekee! Wala usimtafutie sababu..
..
Haa! Yaan uwe na mtu asiye romantic?
Romantic inaleta pesa
Romantic inajenga
Romantic ni mume mwema!
Romantic inaleta kazi
..
Nenda na kila la kheri
Pita mlango huooo wala usigeuke nyuma
^^
uuuwiii baba nyumbani awe mkali nashindwa kumwambia kitu hata mpenzi nae..aiseee haijawahi kunikuta manake ningekua namwandikia ata notes namtumia asome ataelewa tu...wanawake wengine wapo kwenye relationship ila wanawachukulia wanaume kama miungu....!
Siyo amri hizo.....amri za fanya hiki na hataki mjadala...na ucpofanya ni kununa tu..