Nina mchumba wangu ambaye tuna uhusiano wa miaka 2 na tupo mbioni kufunga ndoa,tatizo kubwa alilonalo mchumba wangu huyu ni amri yani ana amri hata Rais haoni ndani...yani cna raha na mapenzi kwakweli nafikiria kumwacha lakini namuonea huruma kwa sababu atalia sana na mbaya zaidi familia yake wananijua mi ni mchumba wake..pia kashanigharamikia vya kutosha yani lakini hizi amri anazonipa ndo cziwez na hajakaa kiromantic hata.
Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?
Nishaurini ndugu zangu nifanyeje?