jinsi makampuni makubwa ya tech yanavokuona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jinsi makampuni makubwa ya tech yanavokuona

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Oct 19, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  tafsiri kidogo, nimeachwa njiani
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Tuanze
  facebook
  Ye anachowaza ni kutuekea sisi matangazo tu ndo mana katuvalisha mabango for sale for sale

  twitter
  Yeye anatufanya sisi vichekesho kwa kutufanya tunafata fata watu wengine hata hatuwajui

  microsoft
  Never care mteja kwake **** anatufanya kama punching bag kwasababu anao wengi karibia asilimia 90 ya watumiaji pc

  google
  Matrix inamaanisha experiment yeye google anachukua information zetu na kuwapa wenye matangazo sisi kwake ni kama unavoona kwenye pic

  apple
  Ye kwake mteja hela anachowaza toka kwako ni hela zako tu ndo mana anauza overpriced

  blackberry
  Yeye mteja kwake ni hero picha ya knight inamaanisha ni saviour ukienda nunua simu ni kama umewasave wasifilisike
   
 4. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  duuuh kweli hii nomaa
   
 5. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  dahhhhhhhhhhhhhhhh ni noma
   
Loading...