Jinsi mainjinia wanavyo mtafsiri mwanamke

Tehetehe tehe tehe! Nimeipenda hiyo brain of a woman.
 
mi naona huu ni unyanyasaji wa kijinsia. ina maana wanawake common sense ni kiduchu hivi. halafu trouble production inadominate, na sisi akina baba tunaolewa tunarudi usiku na kutapikia mashuka?
 
Mmhh, nilikuwa napita tu.
 
Hiyo ya kwanza has made my day, though a bit late innit?
 
Iko okey kwa % kubwa!
Wanawake kuwaelewa unaitaji karne nzima nadhani!
 
mi naona huu ni unyanyasaji wa kijinsia. ina maana wanawake common sense ni kiduchu hivi. halafu trouble production inadominate, na sisi akina baba tunaolewa tunarudi usiku na kutapikia mashuka?

report abuse to TAMWA
 
mhhhhhhh! nimeona ila sichangii naogopa mie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…