Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

Voda hatari kama CCM kudhurumu watz masikni.Hiyo custamer care unapewa dakia 5 kwa mwezi hali tatitizo lasiku moja kl inaweza hitaji dk 10 usalama wa Taifa hovyo heri Mugabe anawajali watu wake na kuwalinda.
 
Na kuna hii kitu,umepata tatizo unawapigia customer care wakusaidie,unachajiwa.Zamani ilikuwa bure tu.

Tanzania nchi yangu ya amani tele!
 
Juz tgo walkua waktuma msg za kuulza maswal kwa ajil ya uboreshaj wa huduma zao
Kabla cjajbu swal lao wakaniaga, nkaona huo n unafk tu
 
nilikuwa sijui kama hawa nao ni wachangiaji wa kampeni katika uchaguzi!
 
mkuu, na huko airtel mtindo ni huo huo...ni WEZI wakubwa!

Mkuu sio Airtel ni Zantel kama uliwahh kupitia na huko endelea kufunguka ili uzidi kutusaidia na tunaamini muko wengi kama wewe tunawaombea na wao wapate uzalendo kama wa kwako
 
tpaul hizi hapa jioneee
Mkuu ulichoandika ni ukweli 100% mitandao ya simu tanzania ni kwa ajili ya kuchota hela za wizi kwa wanainchi.

Unaona hizo screenshots? Jana nilitaka kununua muda wa maongezi ili nijiunge na kifurushi cha week. Wakanizingua weeeeeee hadi muda ukafika kika expire. Kila nikijaribu kununua inagoma, night ikawa imekubali kununua muda wa maongezi wa buku Tatu unusu, asubuhi najaribu kujiunga wanasema salio halitoshi kucheki wamekula kama buku shilingi Tatu, kwa kipi nilichokifanya sijui....
 

Attachments

  • 1415081927422.jpg
    63.7 KB · Views: 231
  • 1415081954470.jpg
    65.7 KB · Views: 227
Last edited by a moderator:
voda jamani wezi namba moja
yaani wamepunguza vifurushi kutoka mb125 kwa 499 mpaka40yaani mi nimehamia airtel
 
Daaaah kumbe buku yangu ya juzi ndo voda waliifanyia mgawo kwa jinsi hiii......

acha tu mkuu,halafu ulipiga customer care wanakwambia kuwa umeweka data 'on' ndo maana hela imekatwa na kumbe sio
 
mkuu hizi michezo za bahati nasibu....washind wanakuwa n wa kweli au n waku tengenezwa....?

kwa upande wa bahati nasibu washindi wanakuwa ni wa ukweli. hakuna uchakachuaji wowote unaofanyika...hapa ni uhakika 100%
 
voda jamani wezi namba moja
yaani wamepunguza vifurushi kutoka mb125 kwa 499 mpaka40yaani mi nimehamia airtel maana afadhali kidogo
 
Na kuna hii kitu,umepata tatizo unawapigia customer care wakusaidie,unachajiwa.Zamani ilikuwa bure tu.

Tanzania nchi yangu ya amani tele!

huu wizi wa customer care upo tigo na airtel tu. kwa voda unachagua ama upige namba ya bure 100/101 ama upige namba ya kulipia (ambayo hukuwezesha kuwapata washauri kwa haraka).
 
Mkuu sio Airtel ni Zantel kama uliwahh kupitia na huko endelea kufunguka ili uzidi kutusaidia na tunaamini muko wengi kama wewe tunawaombea na wao wapate uzalendo kama wa kwako

mkuu, wote ni walewale...wamekuja kuvuna mali kwenye shamba la bibi lisilokuwa na mwenyewe.
 
Kuna jamaa mmoja ambaye kwa sasa ana uwezo na mamlaka ya kufanya jambo juu ya wizi huu. Sijaona akifanya lolote. Ajabu ni kwamba eti naye anautaka "urahisi". Kweli Tanzania haiishi vituko!!


Huyu jamaa hawezi kuzigusa hizo kampuni za simu maana pesa za kampeni zitatoka huko,si unajua dada nae ni mdau?
 
VODACOM ndo baba lao. Mara kadhaa nimeweka salio la buku, kisha natoa laini, kesho yake nakuta mia tatu na kitu. Voda wanaongoza ligi.
 

asante sana mkuu Elli kwa kutuletea ushahidi zaidi.

ndugu wananchi, hebu ona jinsi hawa mabeberu wanavyotuibia fedha zetu. wizi huu haukubaliki hata kidogo.

vyombo vinavyohusika vichukue hatua kukomesha UFISADI huu.
 
Last edited by a moderator:
................umenena mkuu
 
tpaul naomba uione
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…