Jinsi kampuni za bia zilivyobadili gia angani

15781183_220909891702899_431940813115115280_n.jpg

Waongeze na alcohol kidogo sio mtu unakunywa bia kumi hata husikiii kitu,zamani ilikuwa ukinywa safari 3 tu lazima,uyumbe na utakunywa nyingi tu,lakini kwa sasahivi utakunywa safari 5 utaishia kukojoa tu bia na glass kujaa mapovu nimeamua kuhamia henken tu japo elfu 3 lakini ya ukweli.
 
Hili ni kweli kabisa tena kama ni mgeni mgeni kwenye hiyo bar atakuomba cash kabisa tofauti na atakaye agiza hizo za 2500,, lakini kwa usawa huu taratibu wataelewa tu..
Sasa hivi zimeanza kueleweka Mkuu unaagiza zako Pilsner plus nyama lazima heshima iwepo tu
 
Waongeze na alcohol kidogo sio mtu unakunywa bia kumi hata husikiii kitu,zamani ilikuwa ukinywa safari 3 tu lazima,uyumbe na utakunywa nyingi tu,lakini kwa sasahivi utakunywa safari 5 utaishia kukojoa tu bia na glass kujaa mapovu nimeamua kuhamia henken tu japo elfu 3 lakini ya ukweli.
Hivi Heinkeni unalewa?
 
Heri ya mwaka mpya wanywaji wote wa Bia,

Kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu hivi sasa na hasa ukizingatia ya kuwa serikali imekuwa ikipandisha kodi kila mwaka kwenye Bia.

Sasa TBL na SBL wameona isiwe shida, wameamua kushindana kuzalisha Bia ndogo zenye ulevi uleule kwa Bei nafuu ya 1500 hadi 1800. Hii imetoa ahueni kwa wanywaji angalau sasa ukiwa na 4500 tu unaweza kupata walau 3 ya kulalia.

Kwangu mimi Bia sio starehe tena ni hitaji la msingi kama ilivyo maji na chakula, hivyo, kuniuzia elfu 2500 hadi 3000 ni kuniumiza tu. Tafadhali TRA msipandishe Bia.
Mfano kuna
Kilimanjaro ndogo
Safari ndogo
Serengeti ndogo
Balimi ndogo
Na zingine zingi zitakuja kwa lengo la kuinua walau mauzo ya kampuni hizi.

Karibuni tufurahie ubunifu.
Ila kuna mikoa bado hazifiki aiseee, mfano Taborabia ndogo hamna kabisaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom