Jinsi jasho la Fred Mpendazoe lilivyopotea mithili ya njiwa wa uchawi

Hivi Makongoro Mahanga jasho lake vipi maaana hata Ubunge wa Viti maalum hakustahili, basi hata mkewe angepewa mzee apate pensheni. Nahis hakujua vzuri mfumo wa alikokimbilia.
 
Just remember Familia yake ipo Canada, at arudi huko na sivyo unavyotegemea.
Tena safari hii atarudi na mafao ya uzeeni,kama mtumishi wa umma mstaafu.

Zaidi tu nikupashe,mpaka sasa anajiwekea akiba ya kudumu...chochote kitakachompata haitaji hata mchango wa serikali.

Mwisho bado ana jenga historia iliyo tukika,kusimamia anachokiamini.

Mtakufa na vijiba vya roho......yeye atapumzika kwa kusema vita nimevipoga ,mwendo nimeumaliza.
Tunakujua kuwa wewe ndiye house girl wake
 
Rejea kauli yake akiwa Chadema Nilitoka CCM nikiwa Ruteni General lkn Chadema wamenifanya Mgambo"

Maneno hayo unayafahamu - kama alikuwa mtu muhimu kwa nini mlimfanya MGAMBO??
 
Back
Top Bottom