Jinsi jamii inavyowahadaa Wanawake

Jinsi jamii inavyowahadaa Wanawake

About antidepressants, unaona issue ya gender me naona ni existential issue, suffered by the first World countries, but now due to globalisation, a global issue.

Huwezi kuwa materialistic / materialist / deterministic uache kurukwa na akili.

We have denied our true nature, our transcendent nature. We have denied our source, our God. Refusing to accept the truth that will set us free.

Now we're stuck in the false limited space we've foolishly confined ourselves in, trying all the possibilities possible to find meaning, just to collapse to meaninglessness, having to rely on pills to get through the day.
Kingereza
 
Bila shaka utakuwa kobazi wewe😅 Je hao watoto anao walea watakula mawe? Maana dunia ya sasa wanaume wengi tunatekekeza watoto🤣 na ndoa sio jambo la msingi tena/halipewi kipaumbele, je wanawake wasioolewa watakula nini au wataleaje watoto wao au wajane watapata wapi mahitaji ya msingi. Ukishindwa kujibu haya basi ujue kuna tatizo katika hoja zako.
Hayo maswali yako yanaonyesha hujazingatia mada. Anyway rudi hoja #12 hapo juu nimejaribu kumuelekeza uhalisia Mstahiki Mea

By the way mimi ni mseminari sio kobaz 😀😀😳
 
Kingereza
ChatGPT:

Kuhusu dawa za msongo wa mawazo (antidepressants), unaona suala la jinsia (gender), mimi naona ni suala la kuwepo (existential issue), linalowatesa watu wa nchi za ulimwengu wa kwanza, lakini sasa kutokana na utandawazi, limekuwa suala la dunia nzima.

Huwezi kuwa mtu wa kufikiria vitu kwa mtazamo wa kimada (materialistic), kimada kabisa (materialist), au kwa mtazamo wa kisababishi tu (deterministic) halafu usitarajie kurukwa na akili.

Tumekataa asili yetu ya kweli, ile asili yetu ya kiroho na inayotufikisha juu zaidi ya hapa duniani. Tumemkana Chanzo chetu — Mungu wetu. Tumekataa kuukubali ukweli ambao unaweza kutuweka huru.

Sasa tumekwama katika nafasi ya uwongo na finyu tuliyojifungia kwa upumbavu wetu, tukijaribu kila uwezekano wa kupata maana, lakini mwisho wake tunaporomoka kwenye hali ya kukosa maana, tukilazimika kutegemea vidonge ili kuvumilia siku moja zaidi.
 
Mfundishe kujitegemea kabla hajaingia kwenye mambo ya kifamilia hii itamsaidia kutokuwa mtumwa
Ntamfundisha kuheshimu watu wote Duniani hususani wanaume, mengine yatakuwa ndani yake. Hawezi kujitegemea hapa ulimwenguni kama hawezi kuheshimu wanaume.
 
Sitapenda, but haiondoi ukweli kwamba asili ya mwanamke ni kumuintertain mwanaume na kumlelea watoto baasi, haya mengine ni mipango ya shetwani tuu.
Kwa namna ninavyomheshimu mama yangu, ngoja niheshimu wanawake,.nikiwaheshimu wataniheshimu. Nitamfunza binti yangu siku zote kuwa na heshima na wanaume. Sidhani kama nitaeleweka.
 
Wengi ni single mother ,wengi hawaoloweki (huwezi kuoa)
Sisi tutakula tu vito-bo na kupotea zetu
 
ChatGPT:

Kuhusu dawa za msongo wa mawazo (antidepressants), unaona suala la jinsia (gender), mimi naona ni suala la kuwepo (existential issue), linalowatesa watu wa nchi za ulimwengu wa kwanza, lakini sasa kutokana na utandawazi, limekuwa suala la dunia nzima.

Huwezi kuwa mtu wa kufikiria vitu kwa mtazamo wa kimada (materialistic), kimada kabisa (materialist), au kwa mtazamo wa kisababishi tu (deterministic) halafu usitarajie kurukwa na akili.

Tumekataa asili yetu ya kweli, ile asili yetu ya kiroho na inayotufikisha juu zaidi ya hapa duniani. Tumemkana Chanzo chetu — Mungu wetu. Tumekataa kuukubali ukweli ambao unaweza kutuweka huru.

Sasa tumekwama katika nafasi ya uwongo na finyu tuliyojifungia kwa upumbavu wetu, tukijaribu kila uwezekano wa kupata maana, lakini mwisho wake tunaporomoka kwenye hali ya kukosa maana, tukilazimika kutegemea vidonge ili kuvumilia siku moja zaidi.
Mmmmmmmmmmmmmmmh haya bhan
 
Sitapenda, but haiondoi ukweli kwamba asili ya mwanamke ni kumuintertain mwanaume na kumlelea watoto baasi, haya mengine ni mipango ya shetwani tuu.
Halafu naomba nikufahamishe kwamba hiyo entertainment unayosema ni scam. Heshima ndo jambo la msingi kuliko yote.
 
Kwa namna ninavyomheshimu mama yangu, ngoja niheshimu wanawake,.nikiwaheshimu wataniheshimu. Nitamfunza binti yangu siku zote kuwa na heshima na wanaume. Sidhani kama nitaeleweka.
Mbona unaenda mbali. Hatujasema wanawake wasiheshimiwa, tena inapswa waheshmiwe na kupendwa kweli kweli. Lakini hili la lulazimisha usawa baina ya mtu mume na mtu mke ni kimyume cha asili ya binadamu. Mwanamke anahitaji mambo matatu tuu kutoka kwa mwanaume - Kupendwa, kusikilizwa na kuhudumiwa. Ila mwanaume anahitaji jambo moja tuu kutoka kwa mwanamke - UTIIFU.
 
Maisha unayoishi ndo reflection ya maisha ya watoto wako, unless awepo mmoja aliyechaguliwa na sheria za ulimwengu kuwa tofauti na maisha unayoishi/unayofundisha watoto wako. Mengine tuache nature iendelee ku flow
 
Mbona unaenda mbali. Hatujasema wanawake wasiheshimiwa, tena inapswa waheshmiwe na kupendwa kweli kweli. Lakini hili la lulazimisha usawa baina ya mtu mume na mtu mke ni kimyume cha asili ya binadamu. Mwanamke anahitaji mambo matatu tuu kutoka kwa mwanaume - Kupendwa, kusikilizwa na kuhudumiwa. Ila mwanaume anahitaji jambo moja tuu kutoka kwa mwanamke - UTIIFU.
Ok. Hapo nimekuelewa mkuu. Nakushukuru, upo sahihi. Asante sana.
 
Endelea kujipumbaza. Ila nitakutoa upumbavu wako kwa kujaribu kukueleza kwa kirefu kwa sababu ulikosa hata "F" ya std VII.
Katika uhalisia wa uumbaji, based on natural facts kama vile biological, psychological, physical, na emotional differences, wanawake wamewekwa katika nafasi ya kuwa entertainers wa wanaume zaidi kuliko wealth producers. Hii si kwa sababu ya ubaguzi, bali ni kwa sababu ya tofauti za asili ambazo si rahisi kubadilika.

Mathalan, Kibaiolojia, mwanamke ana miezi tisa ya kubeba mimba na miaka miwili ya kulea mtoto kikamilifu. Ukijumlisha, ni takriban miaka mitatu kwa mtoto mmoja. Sasa, fikiria akiwa na watoto watano, hii inamaanisha anahitaji kuwekeza miaka mingi katika kuzaa na kulea, na hii inazuia uwezo wake wa kujihusisha kikamilifu katika shughuli za kiuchumi.

Kisaikolojia au kihisia, wanawake wengi ni more empathetic, wana huruma hata kwa vitu visivyohurumisha, waoga kupitiliza wanaogopa hadi mende jambo ambalo linaonyesha jinsi asili inavyowaweka katika nafasi ya kukimbia au kuunga mkono , badala ya kushindana katika maisha.

Ukiangalia kwa upande wa physical capabilities, wanawake hawakuumbwa kwa kazi ngumu zinazohitaji nguvu nyingi kama wanaume, hivyo kushindwa kuzimudu njia kuu za uchumi ambazo kwa enzi na enzi zimekuwa zikihitaji nguvu na stamina kubwa. Kwa miaka na dahali kumiliki njia za uchumi kulihiutaji vita, mabavu, ubabe nk. Mwanamke angeweza wapi na yeye alikuwa kazi yake kumliwaza kidume akirudi amechoka na kuzaa watoto.

Hii ndio sababu kubwa inayopelekea dunia kutumia nguvu kubwa, juhudi na resources nyingi sana kumuwezesha kufanya kile ambacho asili haikumuandalia kwa urahisi. Ni sawa ukiwa na mtoto mwenye kipaji cha kucheza mpira kama mwanagu jr, hutalazimika kutumia nguvu nyingi sana kwa mafunzo kabla hajafikia level ya juu tofauti na mtoto ambaye hana kipaji cha mpira kama Romeo mtoto wa David bekham.

Na behind the scheme hizi ishu za kumwezesha mwanamke ni sijui maswala ya equality and empowerment yana siri kubwa ambapo atahri zake ndio zinaanza kujitokeza sikuhizi mfano kuongezea kwa maswala ya LGBTQE na hivyo kuharibu kabisa uhalisia wa binadamu.

Kwenda usinichoshe hata sijui kwa nini nimekujibu
Nimeipenda ufafanuzi wako mkuu umeeleza vizuri sana
 
Kiuhalisia mwanamke aliumbwa kumtumikia mwanaume katika leisure occasions tu, na sio kuwa sehemu ya kumiliki chumi za dunia.
Mdau unayejiita Black nyeti naona umeweka angry “😡” kwenye hii post,labda ulitaka kusemaje na wewe?tunakusikiliza!
 
Nyie ni wanyanyasaji wa kijinsia kabisa yaaaani
Umethibitisha alichoandika mleta mada pale juu,ku-play victims ni hulka yenu ila inaposemwa kumtumikia mwanaume siyo ukamuogeshe ni wewe kufanya yale aliyoyanzisha wakati ule hayupo.
 
Umethibitisha alichoandika mleta mada pale juu,ku-play victims ni hulka yenu ila inaposemwa kumtumikia mwanaume siyo ukamuogeshe ni wewe kufanya yale aliyoyanzisha wakati ule hayupo.
Sijasoma uzi wote kozi ni mrefu sana. Alafu hapo mbona umekoza
 
Kutokujitambua tu. Wanaojitambua hawaigi vitu bila kuhoji.
 
Back
Top Bottom