Jinsi Iran ilivyotekeleza shambulio lake dhidi ya Israel

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,061
8,732
Iran attacked Israel with seven "Fatah" hypersonic missiles - the Iron Dome did not shoot down a single one

THOSE MISSILE ARE 15 TIMES FASTER THAN SOUND AND HAVE A RANGE OF 1400 KILOMETERS

Moscow military expert Vladislav SHURIGIN: The Iranians carried out their night attack in waves. Since they are significantly slower than both fighter jets and missiles, they launched the Shahed drones first. A few hours later, their subsonic cruise missiles were launched, and only then the "Fatah" hypersonic ballistic missiles. Everything was so calculated and coordinated that the drones and rockets of both types reached the targets on the territory of Israel virtually simultaneously, acting as one shock wave.

More than 200 planes of the Israel Defense Forces and US naval aviation from the aircraft carrier, as well as the Israeli Iron Dome missile defense system, participated in repelling the attack. Despite these massive forces, some Iranian drones, cruise missiles, and almost all ballistic missiles have hit their intended targets.

Picha ambatanishi na video ni sehemu ya kambi za jeshi zilivyoshambuliwa.
20240416_193813.jpg
20240416_174719.jpg
20240416_174727.jpg
20240416_174727.jpg
20240416_174727.jpg

inashangaza sana wanavyojinadi hakuna madhara yoyote baada ya lile shambulio wakati hiyo video niliiona hata AJ hayo mabomu yanaonekana kabisa yakitua kwenye makazi ya watu...taifa teule MY FOOT
Unashauri nini, vita iendelee au isiendelee?
 
inashangaza sana wanavyojinadi hakuna madhara yoyote baada ya lile shambulio wakati hiyo video niliiona hata AJ hayo mabomu yanaonekana kabisa yakitua kwenye makazi ya watu...taifa teule MY FOOT

Iran sio Hezbollah. Kule Iraq USA walimuua kamanda Mkuu wa IRGC,Kasim Suleiman,Iran akast atajibu,Iran akaitwanga kambi ya jeshi la Marekani kwa makombora,Marekani akaufyata akakaa kimya!!
 
Kwa mfano huu marekani afikirie mara 2 mbili kupelekq zele Carrier mbele ya iran maana likipigwa hata kama iran itatumia Dron 600 kwa hii strategic aliyoinyehsa lazima itazamishwa maana ni valuable assets na huko bahari hakutakuwa na msaada wa maana
 
Aircraft carrier ni moving target, haufyatui makombora kiholela kama unavyofyatua uyatume nchi kavu. Marekani alimuua Jenerali wa Iran, Iran ikapiga pavements za uwanjani. Hakuna mlinganyo kabisa
 
Back
Top Bottom