kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 120
- 226
Wakuu, moja kati ya passions nilizonazo ni pamoja na kuwa "data analyst ".
Nipo kwenye process ya kumalizia SQL queries course relating to data analytics.
Katika research ambayo nimefanya huko YouTube, wanasa ni lazima nizijue zofuatazo.
1. Sql
2. Advanced excel ikiwemo "pivot table and Vlookup formula, na nyingine nyingi "
3. Visualisation tool. (Power BI au Tableaue.
4. BASICS OF statistical calculations.
Je kuna vingine vya ziada ninazotakiwa kujua ili niwe a good data analyst. ?
Unaweza kuReply kulingana na uzoefu wako wa kazi.