Bishop Fihavango
Member
- Jul 26, 2012
- 16
- 4
soory ni 198 postna leo UDART wametangaza nafasi 178 za cashier kupitia maxmalipo so angalieni zoom
soory ni 198 postna leo UDART wametangaza nafasi 178 za cashier kupitia maxmalipo so angalieni zoom
Labda kuna intake nyingine, nijuavyo mimi toka kijana mmoja anafanya kazi hawa wa malipo kituo cha basi kazi wameshaanza, ndo unaowaona vituoni na tshirt za maxmalipo, kwa maelezo yake hadi training wameshapiga! Labda kuna intake nyingine.Mbonq kuna mtu ananiambia kwamba hizo nafasi za zoom tayari watu washaanza kazi,kuna ukweli wowote hapo mkuu ?
450,000 kwa maelezo ya jamaa.Kima cha chini wanalipa kiasi gani kwani, ila hawa maxmalipo wamejitanua sana nchini nadhan kila halmashauri wanahusika
Ya bahari au ya kawida?Na ujitaidi kunywa maji kwa wingi jina lionekane kiurahisi!!
Hii ni hela ya mbogs450,000 kwa maelezo ya jamaa.
Labda itapanda baada ya miezi kadhaa, wako ktk probation nasikia.Hii ni hela ya mbogs
Kweli kabisa na life la mjini lilivyojuu mkuu, unajikuta unalipa kodi na kula basiHii ni hela ya mbogs
Kuna jamaa abajiita mr kuaga, huyo jama n hatari sana kila ukiapply anakujibu cv yako ipo vizuri sana tuma pesa kwenye namba hii ya tigo kabla ya saa kumi mm nipo kwenye kikao napitia cv zenuchonde chonde! Usije ukaomba kazi zoom kupitia apply now button
Kwan nafasi walizokua wametangaza maxmalipo ndo hizo za udart?na leo UDART wametangaza nafasi 178 za cashier kupitia maxmalipo so angalieni zoom
Naomba nitumie e mail yaoPoa poa mkuu......nimetuma jana kwa email yao na wamenijibu kama nitakua successful watanipigia simu.....Kuna mtu ameajiriwa pale hivi karibuni na ana kama wiki kazini ndo aloniambia hivyo ndomana nikaona nikuulize
apply@maxcom.comNaomba nitumie e mail yao