Jinsi gani ya kupata kazi UDART?

Walishaitana sirisiri na kutoa kazi kwa hao vijana unaowaona ktk vituo, wengi ni wahitimu wa IFM na wengi ni fani ya uhasibu, maxmalipo ndo iloyowaajiri hiyo ajira! Inasemekana wako kwenye mkataba wa miezi mitatu kucheki utendaji wao, kama ni usimamizi unaulizia yaani mambo ya malipo kazi unaombea maxmalipo, unaweza jaribu ila nasikia wengine walipigwa chini, sijui kama bado wanachukua.
Sijui ofisi kuu zao zilipo ila nimepata hizi info toka mtu aliyepata ulaji hapo ila hawalipwi sana haya malipo ya awali labda baada ya mkataba rasmi ndo angalau wataongezewa.
Peleka maombi maxmalipo kama unapajua ofisi zao, ila ni wale wanaohisika na malipo yaani nauli wale wenye tisheti za maxmalipo.
 
Nimekupata mkuu, shukrani sana.
Office za maxmalipo zipo Millenium tower, Flour namba moja kama sikosei
 
Walishaitana sirisiri na kutoa kazi kwa hao vijana unaowaona ktk vituo, wengi ni wahitimu wa IFM na wengi ni fani ya uhasibu, maxmalipo ndo iloyowaajiri hiyo ajira! Inasemekana wako kwenye mkataba wa miezi mitatu kucheki utendaji wao, kama ni usimamizi unaulizia yaani mambo ya malipo kazi unaombea maxmalipo, unaweza jaribu ila nasikia wengine walipigwa chini, sijui kama bado wanachukua.
Sijui ofisi kuu zao zilipo ila nimepata hizi info toka mtu aliyepata ulaji hapo ila hawalipwi sana haya malipo ya awali labda baada ya mkataba rasmi ndo angalau wataongezewa.
Peleka maombi maxmalipo kama unapajua ofisi zao, ila ni wale wanaohisika na malipo yaani nauli wale wenye tisheti za maxmalipo.
Kima cha chini wanalipa kiasi gani kwani, ila hawa maxmalipo wamejitanua sana nchini nadhan kila halmashauri wanahusika
 
Hakuna ukweli..jaribu bahati yako... Wewe tuma maombi afterall kwenye zoom huingii gharama za jqenye posta.. Unatuma tu online.. Utapingukiwa na nini?

Poa poa mkuu......nimetuma jana kwa email yao na wamenijibu kama nitakua successful watanipigia simu.....Kuna mtu ameajiriwa pale hivi karibuni na ana kama wiki kazini ndo aloniambia hivyo ndomana nikaona nikuulize
 
Back
Top Bottom