BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
Wana jf naomba mnisaidia jinsi ya kujua source,location na namba ya simu iliyotumika ktk verification code ya kufungua account ya gmail.thanx wakuu kuna mtu anasambaza email za matusi ktk organisation yetu.hivyo ni vyema tukaitambua walau mac address au ip.kama ni modem tukaijua no ya simu