young damwasatz Member Nov 13, 2018 8 4 Mar 13, 2020 #1 habari wana JF, Nikuwa nahitaji mnijuze namna ya kutengeneza mabango pamoja na maswala ya graphics design ni vitu gani niwenavyo na namna ya kuvitumia ASANTE! Sent using Jamii Forums mobile app
habari wana JF, Nikuwa nahitaji mnijuze namna ya kutengeneza mabango pamoja na maswala ya graphics design ni vitu gani niwenavyo na namna ya kuvitumia ASANTE! Sent using Jamii Forums mobile app
mazojms JF-Expert Member Sep 22, 2017 1,607 2,482 Mar 13, 2020 #2 Graphics designing ni kipaji pia ni profession, kama umefikia umri wa kumiliki smartphone na bado hujui ni ki2 gani, i doubt kama ni kipaji chako. Sent using Jamii Forums mobile app
Graphics designing ni kipaji pia ni profession, kama umefikia umri wa kumiliki smartphone na bado hujui ni ki2 gani, i doubt kama ni kipaji chako. Sent using Jamii Forums mobile app
ChickMagnet JF-Expert Member Jul 19, 2013 2,647 3,295 Mar 13, 2020 #3 Ebu anza na InDesign haiko complicated sana ukishaiweza hamia Photoshop na Illustrator
Moo Click JF-Expert Member Feb 18, 2015 3,496 3,237 Mar 14, 2020 #4 Nakazia Hapa mazojms said: Graphics designing ni kipaji pia ni profession, kama umefikia umri wa kumiliki smartphone na bado hujui ni ki2 gani, i doubt kama ni kipaji chako. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
Nakazia Hapa mazojms said: Graphics designing ni kipaji pia ni profession, kama umefikia umri wa kumiliki smartphone na bado hujui ni ki2 gani, i doubt kama ni kipaji chako. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...