Jinsi gani ya kuingia Kenya?

Jinsi gani ya kuingia Kenya?

Kinachowaponza watanzania kwenye usafiri(kuhamia na kufanya kazi pia), ndani ya jumuiya ya A.M ni kitambulisho cha taifa. Mimi nimesafiri mara kwa mara nchini Rwanda na Uganda na kama mkenya huwa silazimiki kutumia pasipoti yangu. Kitambulisho cha taifa la Kenya huwa kinakubalika kwenye kila boda. Hata bila temporary pass, kwa wale ambao hawana pasipoti za nchi zao.
 
Kinachowaponza watanzania kwenye usafiri(kuhamia na kufanya kazi pia), ndani ya jumuiya ya A.M ni kitambulisho cha taifa. Mimi nimesafiri mara kwa mara nchini Rwanda na Uganda pia na kama mkenya huwa silazimiki kutumia pasipoti yangu. Kitambulisho cha taifa la Kenya huwa kinakubalika kwenye kila boda. Hata bila temporary pass, kwa wale ambao hawana pasipoti za nchi zao.

Hicho unatumia Rwanda na Uganda tu, na vice versa. Tanzania tulijikuta mabazenga tukalenga.
 
Yaan mtanzania uingie Kenya bila passport na uwe salama eti kisa una NIDA aisee ebu jaribu tena uone saiv hata Ile 500 walikuwa wanachukua Kama huna passport hawataki saiz ukiomba Sana andaa 1000-2000 kwa ajili ya kuhonga migration njian huo n one-way ukirudi Kama kawaida hvyo uandae 50,000 au 100,000 kwa ajili yakuwa Askari wa Kenya njiani
 
Mpango wote ulikuwa ni kwamba watanzania pia wangekuwa wanakubaliwa kuingia nchi za Ke, Ug, Rw kwa kutumia vitambulisho vyao tu na baadaye S.Sudan. Ila mkataba ulipotiwa saini bado Tanzania haikuwa imewapa raia wake vitambulisho vya taifa.

Itaendelea kula kwenu, ukitilia maanani kwamba kwenye takwimu za wanaomiliki pasipoti wakenya wamewazidi watanzania, kwa karibia mara tatu. Kumaanisha inawabidi watanzania waingie kwenye nchi hizo kinyemela, wakati uwepo wao kwenye nchi hizo sio haramu kisheria.
 
takwimu za wanaomiliki pasipoti wakenya wamewazidi watanzania, kwa karibia mara tatu
Tanzania Passport janja janja nyinyi wangekua wanagawa bure km vitambulisho vya NIDA kila mtu angekua na passport, ukihitaji passport andaa 200k up to 250k mtanzania wa kawaida hawezi fanya hivyo
 
Yaan mtanzania uingie Kenya bila passport na uwe salama eti kisa una NIDA aisee ebu jaribu tena uone saiv hata Ile 500 walikuwa wanachukua Kama huna passport hawataki saiz ukiomba Sana andaa 1000-2000 kwa ajili ya kuhonga migration njian huo n one-way ukirudi Kama kawaida hvyo uandae 50,000 au 100,000 kwa ajili yakuwa Askari wa Kenya njiani
Jombaa, waganda na warwanda wanaingia Kenya kwa kutumia vitambulisho vyao tu. Ila kwa watanzania ni marufuku. Hadi pale ambapo shughuli ya kuwapa watanzania wote vitambulisho vya taifa itakapokamilika na mkataba kati ya nchi hizo utiwe saini. Vitambulisho ndio vilikuwa kigezo kikubwa cha kukubalia usafiri huo kati ya nchi zetu hizi, bila pasipoti.
 
We kugawa tu vitambulisho vya NIDA tu mtiti wake sio kidogo, watanzania million 60 na 2 wenye ID za NIDA hawazidi million 10 unategemea nini?
 
Jombaa, waganda na warwanda wanaingia Kenya kwa kutumia vitambulisho vyao tu. Ila kwa watanzania ni marufuku. Hadi pale ambapo shughuli ya kuwapa watanzania wote vitambulisho vya taifa itakapokamilika na mkataba kati ya nchi hizo utiwe saini. Vitambulisho ndio vilikuwa kigezo kikubwa cha kukubalia usafiri huo kati ya nchi zetu hizi, bila pasipoti.
Hapo sawa mzee Mana Kama ingekuwa national I'd tuu basi watanzania ingewawia wepesi kwenda Kenya kutafuta fursa
 
Mpango wote ulikuwa ni kwamba watanzania pia wangekuwa wanakubaliwa kuingia nchi za Ke, Ug, Rw kwa kutumia vitambulisho vyao tu na baadaye S.Sudan. Ila mkataba ulipotiwa saini bado Tanzania haikuwa imewapa raia wake vitambulisho vya taifa.

Itaendelea kula kwenu, ukitilia maanani kwamba kwenye takwimu za wanaomiliki pasipoti wakenya wamewazidi watanzania, kwa karibia mara tatu. Kumaanisha inawabidi watanzania waingie kwenye nchi hizo kinyemela, wakati uwepo wao kwenye nchi hizo sio haramu kisheria.

Sio issue sana zaidi ya usumbufu wa hapa na pale tu. Watanzania wote wenye uhitaji wa kuwepo hizo nchi, wana uwezo wa kupata passport hata za dharura.
 
Back
Top Bottom