Jinsi gani ya kuhifadhi nyama ( ya kuku) bila kuwa na friji ?

1.Mkaange
2.Beba take away kesho yake ule na wenzako mchana
Au
3.karibisha mgeni home mumle aishe
 
unaila inakaa huko tumboni..hakikisha ukiskia haja huendi toilet maana utakua umeshndwa kuhifadhi.
 
Shida nini, hebu nialike tuje kummaliza huyo, siku nyingine zamu yangu kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…