Jinsi gani vitalu vya gesi vinavyotolewa hii Mengi inamuhusu


blackgold engineer

blackgold engineer

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Messages
107
Likes
5
Points
35
blackgold engineer

blackgold engineer

Senior Member
Joined Sep 8, 2013
107 5 35
sio vizuri tu kulalamika bila kujua kwa umakini na undani wa jambo Fulani,,watanzania wengi tumekua tukisumbuliwa na jinsi gani mchakato ulivyo katika kugawa vitalu vya gesi akiwemu Dr Mengi,,basi tuache asili yetu ya uvivu wa kusoma na matokeo yake kuuishia kulalamika bila kujua ukweli uko vipi,,ili kukuza uwelewa wako ebu kwa makini fuatilia hii link na usome upate somo jinsi gani nchi yetu inagawa hivi vitalu vya kutafuta hizi bidhaa muhimu za mafuta na gesi.........................http://www.tpdc-tz.com/Taarifa_kwa_umma.pdf
 

Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,630