Jinsi gani unaweza kumfikisha mwanamke kileleni?

Jinsi gani unaweza kumfikisha mwanamke kileleni?

tehtehtehteh ila ukianza wewe kuomba poo upumzike kidogo unakuwaje mdogodogo, huku bluetooth ikiguswa unataman kulia unaishia kujifanya umelala hata kama huna usingizi

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimechekaa
 
Mkuu lakini bluetooth c inatumia mfump wa wireless wakati katika hali ya uhalisia unatumika mfumo wa wired ! hapo inakuwaje mkuu!! hahajahaaaa!


wireless ndio ila ikiwa off no kuhamisha video wala audio , na visible to near .....
 
nichangie mada sasa, muomba ushauri mwanamke yoyote ukiona hafiki mawenzi/kibo/ evarest haraka fanya kumuandaa vizuri kwa mda mrefu sana touchy touchy kila mahala ni muhimu kwa watu hawa especially tuchuchu, kiuno, masikio, tushingoni humohumo, mkumbatie kwa mgongoni huku ukimnong'oneza vijineno viamtam (hata kama humaanishi) touchy touchy again and again mhug kwa ukaribu saana kwa dakika 10 bila kumwachia then unalegeza kumbatio na kajimwaah kasilent sio mwaaaah kwa sauti kama kwenye movie!! hakikisha unajizuia kuhamisha chochote kwa bkuetooth yako hadi aitake mwenyewe kwa masononeko ndo urushe picha za chapchap sasa ulete mrejesho

hapo lazima uwe vizuri
.mahabatically
.romantically
.kiunotically
.styletically
.g spotically
.usafitically
.n.k
 
Hivi ni kwa jinsi gani mwanamke mwembamba anaweza kufikishwa kileleni mapema?

Naomba msaada wenu pliz kwa wataalam

unachukua ✌ unaweka✔✔ Lowassa✌✌
 
Mimi Edward Lowassa, Mgombea Urais wa CHADEMA, nakuomba kesho Oktoba 25 uwahi saa 12 Asubuhi kituoni na ukatupigie kura. Chagua MABADILIKO, Mtumie na Mwingine.
 
Umejiandikisha? Acha uzinzi Taifa kwanza mapenzi baadae @#&/&@*&
 
Umejiandikisha kupiga kura? Acha uzinzi kijana Taifa kwanza,
 
We mtaani unapoishi mtafute mtu mwenye upwiru,kisha mnunulie Chakula napendekeza dona na kabichi bila kusahau maji.Safisha chumba vizuuri,wafungie kwa nje na mpenzi wako.Kisha rudi tena kuleta mrejesho hapa.Nawasilisha.
 
Chagua lowasa!!..



nichangie mada sasa, muomba ushauri mwanamke yoyote ukiona hafiki mawenzi/kibo/ evarest haraka fanya kumuandaa vizuri kwa mda mrefu sana touchy touchy kila mahala ni muhimu kwa watu hawa especially tuchuchu, kiuno, masikio, tushingoni humohumo, mkumbatie kwa mgongoni huku ukimnong'oneza vijineno viamtam (hata kama humaanishi) touchy touchy again and again mhug kwa ukaribu saana kwa dakika 10 bila kumwachia then unalegeza kumbatio na kajimwaah kasilent sio mwaaaah kwa sauti kama kwenye movie!! Hakikisha unajizuia kuhamisha chochote kwa bkuetooth yako hadi aitake mwenyewe kwa masononeko ndo urushe picha za chapchap sasa ulete mrejesho

hapo lazima uwe vizuri
.mahabatically
.romantically
.kiunotically
.styletically
.g spotically
.usafitically
.n.k
 
nichangie mada sasa, muomba ushauri mwanamke yoyote ukiona hafiki mawenzi/kibo/ evarest haraka fanya kumuandaa vizuri kwa mda mrefu sana touchy touchy kila mahala ni muhimu kwa watu hawa especially tuchuchu, kiuno, masikio, tushingoni humohumo, mkumbatie kwa mgongoni huku ukimnong'oneza vijineno viamtam (hata kama humaanishi) touchy touchy again and again mhug kwa ukaribu saana kwa dakika 10 bila kumwachia then unalegeza kumbatio na kajimwaah kasilent sio mwaaaah kwa sauti kama kwenye movie!! hakikisha unajizuia kuhamisha chochote kwa bkuetooth yako hadi aitake mwenyewe kwa masononeko ndo urushe picha za chapchap sasa ulete mrejesho

hapo lazima uwe vizuri
.mahabatically
.romantically
.kiunotically
.styletically
.g spotically
.usafitically
.n.k

mmmh! uko vizur
 
Back
Top Bottom