hivi kwani King'asti tissue ziko sterile??
kipi bora?? kushika na mkono wako ambao unauamn nusu ama na tissue ambayo huijui ilivyo kiusafi??
binafsi huwa nashika na leso yangu ambayo ni safi at least to me
mmmh, mwenzangu inategemea ulipo! Ila tissue mi natumia pale ambapo sina access ya kunawa. But lucky me natembea na wet cleansing tissue manake inaosha vumbi. Na wale wapendwa wasionawa mikono baada ya chooni (uliza wanaume humu wangapi baada ya short call wananawa na sabuni, utashangaa!). I dont trust my hands na nanawa kila nnapopata chance, kama ni kitu cha kula natumia mkono wa kushoto (manake hausalimii watu, lol)
im careful with doors ila kuna vitasa na zile za kupull. Na salamu kuna watu wanajua kustretch mikono balaa! I dont wanna seem rude, nasalamia tu. Ila mfano nikiwa nimetoka nje ya home nikiingia kwangu tu nanawa na sabuni. Hapo nakuwa huru kula na kushika chochote. Taabu kweli, tunahofia mikono what about mikono iliyoserve?linapokuja swala la salam na kufungua mlango huwa situmii mkono. mdomo unatosha for salam na mlango nagungulia mwili wote yaaani nausukuma kwa bega langu.
im careful with doors ila kuna vitasa na zile za kupull. Na salamu kuna watu wanajua kustretch mikono balaa! I dont wanna seem rude, nasalamia tu. Ila mfano nikiwa nimetoka nje ya home nikiingia kwangu tu nanawa na sabuni. Hapo nakuwa huru kula na kushika chochote. Taabu kweli, tunahofia mikono what about mikono iliyoserve?
Mimi huwa nalazimika tu kutumia tissue, ila naamini zaidi katika kunawa mikono.
Msinijudge vibaya huo ni mtazamo wangu binafsi.