Je? Ikiwa sina lesseni ya biashara ila dhamana ninayo naweza kupata mkopoUnaenda zako tu Benki mfano NMB, unaonana na Afisa Mikopo! Atakupa muongozo wote.
Usisahau Mkopo wa biashara kwa nchi yetu, ni lazima uwe na leseni ya biashara, tin number na dhamana ya mkopo (mali isiyo hamishika! Mfano nyumba, kiwanja chenye hati, nk.)
1)Uwe na biashara ambayo tayari inafanyikaJe? Ikiwa sina lesseni ya biashara ila dhamana ninayo naweza kupata mkopo
Hupati. Great NOJe? Ikiwa sina lesseni ya biashara ila dhamana ninayo naweza kupata mkopo
Ni kweli kabisa. Nina uzoefu wa kukopa NMB. Nimekwisha kukopa mara 3 sasa.1)Uwe na biashara ambayo tayari inafanyika
2)uwe na leseni ya biashara ambayo unaombea mkopo.
3)Dhamana ambayo haihamishiki, Mfano kiwanja chenye hati miliki kutoka wizara ya ardhi, Nyumba pia. Mengine watalujulisha huko.
Kumbuka hela ya mkopo siyo ya kubadilisha mboga na mavazi.