Jinsi China inavyopambana dhidi ya Ukristo

Wakomunisti wanachukia sana dini, sijui kwa nini?
Kwa sababu Ukomunisti una dini yake ambayo inapaswa kuwa dini pekee. Ukomunisti unejengwa juu ya falsafa za Karl Marx na Vladimir Lenin. Katika moyo wa falsafa hiyo ni dini yao inayosema hakuna Mungu.

Pamoja na juhudi zao za kudhoofisha kanisa, bado China inaendelea kuwa nchi yenye kanisa lenye nguvu sana.
 
China ni nchi inayo ongoza kwa asilimia kubwa ya ukana Mungu hivyo haupo sahihi hata kidogo
 
Muda fulani nawaza huenda Afrika tungekuwa mbali sana kama kusingekuwepo na hizi dini mbili.
 
Kwani hizi dini zinamzuia nini muafrika mbona nchi zengine hizi dini zipo na wanafanya mambo yao kama kawaida?
 
Serikali ya China inafanya Jambo jema Sana......wanajua upuuzi wa hizi Imani zikishasambaa...

Hizi Imani zimezalisha wagonjwa wa akili wengi sana.........
 
Wakomunisti wanachukia sana dini, sijui kwa nini?
Ni brainwashing apparatu na ndio panga kali la kutomeza mawazo na fikra chanya za Ukomonist.
Kuna wakati Dini huwafanya watu kuwa wavivu na wajinga katika kuchanganua mambo na ndicho chanzo kikuu cha umaskini wa kifikra.
 
Umemaanisha nini kusema kuna wakati na si kwamba wakati wote dini ipo hivyo?
 
Serikali ya China inafanya Jambo jema Sana......wanajua upuuzi wa hizi Imani zikishasambaa...

Hizi Imani zimezalisha wagonjwa wa akili wengi sana.........
Hizi imani hazipo africa na arabuni tu zipo na kwengine sasa China wao wamefaidika nini kwa kupiga vita hizi imani kwa kulinganisha na huko kwengine?
 
Biblia ina versions kibao siyo mbaya nao wakaedit maana siyo wa kwanza kufanya hivyo.
Acha wapambane maana huku kwetu watu wamekuwa kama mazombie mtu anaamini eti akikanyaga mafuta atakuwa tajiri wakati anayemwambia yeye akitaka jambo anawambia wamchangie kwanini naye asikanyage mafuta.
Yani dini zimeifanya Afrika kuzidi kuwa masikini mara watu wananyweshwa dawa ya mbu mara wanalishwa majani yani bora wapambane watu wao wasije kuwa marofa kama huku

Unakumbuka lile tukio la moshi mwamposa alichowafanyia kondoo wake? Walikufa kwa ujinga.
 
Back
Top Bottom