Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,055
- 63,226
Serikali ya China imeedit hadi biblia, na kuiongezea maneno.
Hata ufanye nini huwezi kuziuwa hizi dini mbili yaani ukirsto na uislam china inajisumbua tu na jinsi anavyo zidi kuzikandamiza ndio anazifanya kuenea kwa kasi nchini mwao.
Usoviet ilijaribu sana lakini hakuna ilicho ambulia.
Hizi dini kuzidhoofisha ina hitaji mikakati na sio manguvu anayo tumia china.
Wakomunisti wanachukia sana dini, sijui kwa nini?
@RootSerikali ya China imeedit hadi biblia, na kuiongezea maneno.
... kwani China si best friends wa waislamu duniani? Nachojua adui wa waislamu ni Marekani na Israel sio China. Tangu karne ya kwanza wakristo wamekumbwa na madhila mengi soma habari za akina Stefano, Paulo, Petro, mitume, na wanafunzi wengine walivyokufa mashahidi sio ajabu hayo kujirudia China na mataifa mengine kuwachinja wakristo.@Root
dudus
Nawayahudi Wengine Weusi China Hawana Masihara Katika Kupambana Namagaidi Wakiislam(Kama Mnavyodai) Nandio Maana Wanawatesa Waislam Wa Uighur vp Kuhusu Wakristo Nao Sababu Nini Ama Nao Nimagaidi Kama Waislam ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wao alikufa msalabani [emoji16][emoji1][emoji2960]Wafanye wafanyavyo lakini Neno la Mungu litasimama. Wakristo wa China hawatakamata majambia wala kujivika mabomu miilini ili kupambana na watesi wao kwani Bwana Mungu wao atawapigania. Tuungane na wakristo wa China kuwatia moyo katika madhila wanayokumbana nayo; si kazi ndogo kumfuata Kristo; ni msalaba na yapasa kujikana kwelikweli.
.... ni kweli kabisa wala hujakosea hata Shetani anajua hilo! Ila alichokipata baada ya tukio lile anakijua mwenyewe.
Huwezi kuiongelea dini yako tu mpaka uingize na ujinga wako uliokomaa wa kuonyesha chuki kwa dini nyingine? jaribu kua na akili iliyokomaa na sio kuendeshwa na chuki za kijinga wewe Yahudi wa Nzega.Wafanye wafanyavyo lakini Neno la Mungu litasimama. Wakristo wa China hawatakamata majambia wala kujivika mabomu miilini ili kupambana na watesi wao kwani Bwana Mungu wao atawapigania. Tuungane na wakristo wa China kuwatia moyo katika madhila wanayokumbana nayo; si kazi ndogo kumfuata Kristo; ni msalaba na yapasa kujikana kwelikweli.
Sasa kama unakiri kweli alishakufa sasa mungu yupi atakae wapigania na wakati alishakufa?.... ni kweli kabisa wala hujakosea hata Shetani anajua hilo! Ila alichokipata baada ya tukio lile anakijua mwenyewe.
... alishakufa kwa tafsiri yako na Shetani anayekudanganya hivyo. Neno la Msalaba ni upuuzi kwao wanaopotea.Sasa kama unakiri kweli alishakufa sasa mungu yupi atakae wapigania na wakati alishakufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona wapi waabudu masanamu waka deal na mambo yao bila kuitaja dini ya haki?Huwezi kuiongelea dini yako tu mpaka uingize na ujinga wako uliokomaa wa kuonyesha chuki kwa dini nyingine? jaribu kua na akili iliyokomaa na sio kuendeshwa na chuki za kijinga wewe Yahudi wa Nzega.
Kwangu mimi wewe ndio shetani mwenyewe sababu unanidanganya una nipotosha... alishakufa kwa tafsiri yako na Shetani anayekudanganya hivyo. Neno la Msalaba ni upuuzi kwao wanaopotea.
... wewe jamaa ukisikia keywords hizi mabomu, kujilipua, magaidi, majambia, and the like unahamaki sana sijui kwanini! Wapi nimeongelea dini ya mtu zaidi ya ukristo ambao ndio msingi wa hii post?Huwezi kuiongelea dini yako tu mpaka uingize na ujinga wako uliokomaa wa kuonyesha chuki kwa dini nyingine? jaribu kua na akili iliyokomaa na sio kuendeshwa na chuki za kijinga wewe Yahudi wa Nzega.
Uwezo wako wa uelewa ni mdogo sana na unadhani kua wote tupo kama wewe? unataka kukikimbia kimvuli chako? acha ujinga hii ni JF utakaa sawa tu,utapata dozi kwa vipindi tofauti tofauti tulia tu.... wewe jamaa ukisikia keywords hizi mabomu, kujilipua, magaidi, majambia, and the like unahamaki sana sijui kwanini! Wapi nimeongelea dini ya mtu zaidi ya ukristo ambao ndio msingi wa hii post?
Nimekuuliza nini unanijibu nini... kwani China si best friends wa waislamu duniani? Nachojua adui wa waislamu ni Marekani na Israel sio China. Tangu karne ya kwanza wakristo wamekumbwa na madhila mengi soma habari za akina Stefano, Paulo, Petro, mitume, na wanafunzi wengine walivyokufa mashahidi sio ajabu hayo kujirudia China na mataifa mengine kuwachinja wakristo.
Serikali ya China imeedit hadi biblia, na kuiongezea maneno.