Jinsi CHADEMA ilivyoinuka na itakavyoanguka

Jinsi CHADEMA ilivyoinuka na itakavyoanguka

Uandishi wake tu unaonyesha alivyo mtupu kichwani.
Porojo tu, siasa zimekuwa za hovyo, ndo kwenye pesa nadhani na madaraka na mamlaka. Wengine hawataki shule wanakimblia siasa, kwasababu hata hao wanaotakiwa kuwa waalimu wao vyuoni wanakimbilia huko. Halafu sasa hivi ndiyo wamegunduwa kuwa siyo lazima uwe na elimu au hata akili kuwa na madaraka ama uongozi chini ya ccm. Ndo maana wanakuja na hoja nyepesi nyepesi tu lakini eti zinaonekana kuwa ni points.
 
Rubbish! kama kitengo ndo kinatengeneza propaganda za kichovu hivi? nchi iko hatarini kuangamia.

Eti CDm wanatengeneza mabomu kujilipua na CCM wanawaangalia tu.

Ndo maana watu kama nyie trump huwaita Shit holes
Ndio uone mleta mada alivyo mpuuzi,simple logic ni kuwa,mipango kama hiyo ya kulipua mabomu haiwezi kupangwa kwa kuwashirikisha madiwani!!!!
Mwenye matope ndio anaweza kufikiri kwa kiwango hicho,top secret missions huwa zinafanywa na inner circle,yaani watu wachache sana ambao ni watiifu ndio hushirikishwa!
Sasa huyu eti anasema madiwani ndio wametoa siri hiyo,huku sio kufikiri kwa GT!Labda watoto wa darasa la 2
 
Tuliwaomba hela ya kujenga reli ya umeme wakakataa,
Tukawaomba hela ya kujenga bwawa wakakataa.
Eti sa hivi ndiyo wanatoa hela ya kuboresha takwimu ,upuuzi mtupu.

Wambieni Tz siyo koloni la World bank
Inaonekana mnaogopa sana Takwimu!!!
 
Huyu mleta mada lazima ni kichaa!
Je waliouawa na polisi wa ccm pia waliuawa na chadema?
Hivyo unalipwa ngapi kwa uwongo wa namna hiyo?
Badala ya kusema chadema inauawa na polisi wa ccm na mkuu wenu unakuja kuleta utumbo hapa?
Sisi wapiga kura tutawapa fundisho mtupe ruhusa tu 🙂 🙂 🙂!
Eti alishinda 🙂 🙂 🙂!!
Alishinda wapi!
Mbona hamkuruhusu tume ya haki za binadamu itangaze mahesabu ya kura zote 2015?
Kwanini mlinyanganya computa za cdm kama siyo woga?
Mkuu kama kashinda kweli mbona analazimisha kupendwa???
Ama mnadhani sisi tusio na vyama hatuoni!
Dawa yenu iko jikoni!!
 
daza steven acha kupotosha watu.... Mgombea ubunge CHADEMA morogoro mjini alikuwa Dr.Marcus Albanie msomi ambaye ameandika vitabu vya kitaaluma sio mabango ya umbea na propaganda kama uliyoleta humu JF mnashusha hadhi ya hili jukwaa.
 
Huyu mleta mada lazima ni kichaa!
Je waliouawa na polisi wa ccm pia waliuawa na chadema?
Hivyo unalipwa ngapi kwa uwongo wa namna hiyo?
Badala ya kusema chadema inauawa na polisi wa ccm na mkuu wenu unakuja kuleta utumbo hapa?
Sisi wapiga kura tutawapa fundisho mtupe ruhusa tu 🙂🙂🙂!
Eti alishinda 🙂🙂🙂!!
Alishinda wapi!
Mbona hamkuruhusu tume ya haki za binadamu itangaze mahesabu ya kura zote 2015?
Kwanini mlinyanganya computa za cdm kama siyo woga?
Mkuu kama kashinda kweli mbona analazimisha kupendwa???
Ama mnadhani sisi tusio na vyama hatuoni!
Dawa yenu iko jikoni!!

'Dawa yenu iko jikoni".....Ni dawa gani hiyo na ni jiko lipi???!!!!
 
daza steven acha kupotosha watu.... Mgombea ubunge CHADEMA morogoro mjini alikuwa Dr.Marcus Albanie msomi ambaye ameandika vitabu vya kitaaluma sio mabango ya umbea na propaganda kama uliyoleta humu JF mnashusha hadhi ya hili jukwaa.
Ndugu Albanie alikuwa mshindi wa kwanza katika kura za maoni na mimi mshindi wa pili katika katika kula za maoni. Tupo sawa.
 
Ndugu Albanie alikuwa mshindi wa kwanza katika kura za maoni na mimi mshindi wa pili katika katika kula za maoni. Tupo sawa.
Kama CHADEMA ni walaghai toka kukua kwake ilikuaje ukaomba kugombea ubunge kupitia hicho chama ambacho unajua kuwa hakifai??
 
Ndugu Albanie alikuwa mshindi wa kwanza katika kura za maoni na mimi mshindi wa pili katika katika kula za maoni. Tupo sawa.
Km hujui kura Na kula ww ndo ulitaka upewe ubunge ?
Kwenye bandiko lako umesema mgombea ubunge kwa Tiket ya chadema ww hujawai pewa Tiket kuiwakilisha chadema
 
Back
Top Bottom