Jinsi "Big Results Now" itakavyotekelezwa mashuleni

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,357
0011.jpg

Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dk Shukuru Kawambwa akifafanua jambo wakati akizindua wa utekelezaji wa mikakati ya "Matokeo makubwa Sasa" ambapo kwa kingereza unaitwa "Big Result now" katika sekta ya elimu. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi mpya wa mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, mpango huu utaongeza fursa za ukuaji Uchumi Wananchi na kuchochea Ustawi kwa Maisha bora kwa Watanzania wote.

0021.jpg

Maafisa wa Elimu mikoa wakitoa ahadi zao kwa Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dk. Shukuru Kawambwa namna watakavyoenda kutekeleza mpango wa "Matokeo Makubwa Sasa"katika sehemu zao za kazi.

0032.jpg

Baadhi maafisa wa Elimu mikoa wakisaini nakala za ahadi za mpango huo(wa kwanza kulia)Afisa Elimu Mkoa wa Mtwara Bw.Hirson Kipenya ,akifuatiwa na Yusufu Kipengele Mkoa wa Pwani, Ibrahim Mbango, Mkoa wa Manyara wanaoshuhudia (wa kwanza kulia) Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dk Shukuru Kawambwa (katikati) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo(wa kwanza kushoto)Naibu waziri wa Tamisemi Mhe, Naibu Waziri wa Elimu Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa.

004.jpg

Wadau wa Elimu wakiwa kwenye mkutano huo wakati wa uzinduzi wa "Matokeo makubwa Sasa" ambapo kwa Kiingereza unaitwa "Big Result now"kwa sekta ya Elimu.

1234447_516526318440892_49279395_n.jpg

Mwalimu akitekeleza rasmi mpango mzima wa "Big Results Now" shuleni kwake.

cc. gfsonwin hii bigi lizati nao mbona wanetu watakiona?

Partner snowhite kuna tetesi kuwa big lizati now imetengewa Shs. bilioni 146.6. Kuwa macho kunaweza kuwa na dili hapa hasa tenda ya kusambasa viboko mashuleni.
 
makubwa haya wanafunua shuka wakati asubuhi imeshafika
tutaona matokeo yake

  • Thanks
Reactions: EMT
partner yani hiyo teda mi nishachukua zamani!
ahahahhahha kwani kwenye MU yetu tulisema kila biashara tutakuwa pamoja au? hebu nikarejee vifungu kwanza nijue nina grounds zipi za kukutemesha hili dili!
 
partner yani hiyo teda mi nishachukua zamani! ahahahhahha kwani kwenye MU yetu tulisema kila biashara tutakuwa pamoja au? hebu nikarejee vifungu kwanza nijue nina grounds zipi za kukutemesha hili dili!

Yalaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!

Whatever you do you do it as agent of the partnership.

Yaani ulichofanya ume-breach the duty of good faith.
 
hizo fimbo kama mzigo wa kuni
zitawatisha tu wanafunzi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hondogo nimetangaza tenda ya kusupply visoda nani anataka aje a-bid??
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Bigi lizalti nao!
Walimu wanakudai malimbikizo abauti 2 b Tsh.
Iz it posibo?
 
mimi hainifai kweli hii?
af ujue itakuwa karibu!
ntakuwa na uwezo wa kuleta kadri vitakapohitajika wakati wowote hata usiku
kweli hii sio tender yangu hii?
 
Yalaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!

Whatever you do you do it as agent of the partnership.

Yaani ulichofanya ume-breach the duty of good faith.
ah!
haya bana!
mi nilijua unaweza ukawa mpango wa kando!
 
Bigi lizalti nao!
Walimu wanakudai malimbikizo abauti 2 b Tsh.
Iz it posibo?

Big lisalti now: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ugo-mjiuzuru-haraka-sana-mmeshindwa-kazi.html

Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Kinana ametoa kauli nzito dhidi ya mawaziri wa elimu ndugu Kawambwa na msaidizi wake Mulugo. Amewapa miezi sita walipe madai ya walimu yanayokadiriwa kufikiwa bilioni za kitanzania 49. Amesema akiwa ikifika miezi sita wakiwa awajafanya lolote basi watawatumia wabunge wa CCM kwenda kuwang'oa bungeni kwa nguvu.
 
ish!
sasa kwani Kinana ni waziir mukulu?
ila inawezekana mbona ye ndio waziri wa mambo ya nje?
si uliona juzi alikuwa na balodhi wa china?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ish!
sasa kwani Kinana ni waziir mukulu?
ila inawezekana mbona ye ndio waziri wa mambo ya nje?
si uliona juzi alikuwa na balodhi wa china?

Ndiyo biggie lisalti nao hiyo.
 
Politics in Professions

Wizi mtupu...wamelipana ma bilion, walimu wanadai mamilioni wanshindwa kulipa afu wantegemea BRN.

Ngoja nikatengeneze ICE CREAM zangu mie
 
Back
Top Bottom