ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 673
- 1,083
ni kweli wanawake wengi ni crazyUmeonyesha kana kwamba wanaume ni malaika...hawana usemi wala mawaa...yote wanasingiziwa...
Unatuaminisha wanawake wengi ni crazy?.!
Mnafeli wapi jmn!
Unaogopa changamoto mwanaume? Oa tu tupime uwezo wako wa kuishi kiakili na mwanamkewengine hatuna mpango wa kuoa.tunapita kimya kimya
Umeonyesha kana kwamba wanaume ni malaika...hawana usemi wala mawaa...yote wanasingiziwa...
Unatuaminisha wanawake wengi ni crazy?.!
Mnafeli wapi jmn!
Mbona kama umepanicNenda kapitie elimu ya uumbaji, chunguza jamii nyingine kama waarabu, wahindi, wachina na wazungu wanavyoishi na namna familia zao zinavyoishi kwa amani..
Wanawake wa KiAfrica mnapambana na elimu ya uumbaji na hapo ndipo wengi wenu mnafeli either kuachika, kutoolewa au kutumika na kutupwa.. Mwanamme ameumbwa kutamani na kumiliki Wanawake wengi ndio maana unaona baadhi ya dini zimeruhusu na wazee wetu miaka mingi kabla ya dini waliishi hivyo..
Mwanamke hajaumbwa kutumika, ameumbwa kuvumilia na kulinda familia refer vifungu vya bible "Mwanamke mjinga atavunja ndoa kwa mikono yake hakuzungumziwa mwanamme hapo" Mwanamke ukipambana na elimu ya uumbaji ukaamua kutumika tambua utachakazwa na 35yrs utakuwa kama nyama za malapulapu..
Elimu ya uumbaji imemaliza kila kitu ukienda tofauti nayo lazima ikuadhibu nikama law of nature tu..
Umeonyesha kana kwamba wanaume ni malaika...hawana usemi wala mawaa...yote wanasingiziwa...
Unatuaminisha wanawake wengi ni crazy?.!
Mnafeli wapi jmn!
wapo sahihi.mke anakuwa kama adui yako unayelala naeNdo maana wabongo wanaogopa sana ndoa siku hizi
siangalii changamoto.naangalia happy life.mwanamke nimtolee mahari,nimuhudumie, nisaidie wazazi wake, nisaidie mashemeji wake,nimpende,nimjali,nimpe muda wangu.then mimi napata faida gani?? just pussy? pussy yenyewe mwanamke hakupi kila siku mara amechoka,mara hajisikii,ila mimi natakiwa kumuhudumia kila siku bila kuchoka.hiyo biashara kichaa huwa sifanyi.hapo bado hajakukera bado hajakuudhi,bado hajakugombanisha na ndugu zako,bado hajakuletea mtoto wa nje. mimi nazalisha tu kuolewa akaolewe kwingine.nimeshazalisha watatu mwaka huu nazalisha mwingine.bata tu no stressUnaogopa changamoto mwanaume? Oa tu tupime uwezo wako wa kuishi kiakili na mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
sio muoga.ni vile tu sijaona faida ya kuoa
ππππsiangalii changamoto.naangalia happy life.mwanamke nimtolee mahari,nimuhudumie, nisaidie wazazi wake, nisaidie mashemeji wake,nimpende,nimjali,nimpe muda wangu.then mimi napata faida gani?? just pussy? pussy yenyewe mwanamke hakupi kila siku mara amechoka,mara hajisikii,ila mimi natakiwa kumuhudumia kila siku bila kuchoka.hiyo biashara kichaa huwa sifanyi.hapo bado hajakukera bado hajakuudhi,bado hajakugombanisha na ndugu zako,bado hajakuletea mtoto wa nje. mimi nazalisha tu kuolewa akaolewe kwingine.nimeshazalisha watatu mwaka huu nazalisha mwingine.bata tu no stress