Jinsi akina mama walivyo na uwezo wa kujenga na kubomoa familia

Hata ukitoa pesa mbele yao as long as una mistreat mama yao basi hao watoto watakuwa close na mama yao na ndugu zake
inategemea pia na influence ya ndugu.wanawake huwa mnafanya juu chini kuwin mioyo ya watoto.kama juzi ummy mwalimu kwenye siku ya wanawake kasema " kati ya baba nani atangulie kufa? " watoto wakasema baba just imagine
 
Wewe umeongea pointi muhimu sana. Hata hivyo si wengi watakaokuunga mkono. Angalia sasa hivi kila nyimbo na kumbukumbu nzuri ya maisha anapewa mama. Utasikia kila mtu "hakuna kama mama duniani". Hii dhana inawadhulumu sana wababa ambao kwa kweli ndio wahudumiaji wakuu wa familia.
upo sawa mzee kweli kabisa
 
inategemea pia na influence ya ndugu.wanawake huwa mnafanya juu chini kuwin mioyo ya watoto.kama juzi ummy mwalimu kwenye siku ya wanawake kasema " kati ya baba nani atangulie kufa? " watoto wakasema baba just imagine

Mama ana uwezo mkubwa sana wa kuwaleta watoto wake upande tu na baba kuonekana mbaya ila ukishajua saikolojia ya watoto mama hata afanye anini hawezi convince watoto wake wakuchukie. Ukitaka kuwin love ya watoto anza ku love their mom.
 
Hao watatu unaowataka ni wanaume? Kama ni wanawake mbona ni wale wale tu. Huyo mmoja kakushinda unataka kuongeza matatizo mengine ? Maana huyo kakushinda hao watatu watakuua kabla ya wakati bado watoto wako wenyewe wakuchukie maana wanajua mama yao hapendwi. Looh kuna babu yangu ana wake watatu sasa hivi kabaki na shamba boy tu maana si wake si watoto hakuna anayemtaka.
Kikinuka huku unaenda kwa yule and vice versa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom